The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Unajiaibisha sana kaka, watu wanakutegemea sana even me, hizi comment zako sizani kama unafikiria na followers wako, achana na hii mada tafadhali japo najua utanipinga ila nakuomba achana nayo, huwa najisikia vibaya mtu nnayemkubali akiongea hivi.Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.
Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.
Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe hao watu wanakulisha? 😂😂😂No wonder watu wanakuzingua wewe umejaa mapuuza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mombasa na kisumu hvo nina uhakika [emoji28][emoji28]
Imepiga kwenye mshono kama Usm Algers watakavyofanya kesho 😁😁😁😁Wacha Kulalamika sana, hivi vinchi vyetu vya Afrika bado Sana vinahitaji kusaidiwa na kusimamiwa kuanzia kwenye uchumi hadi katika kujiendesha, bado vichwa vingi vya waafrika vimejaa ujinga na vinaendeshwa na Imani zaidi kuliko facts. Kama nchi inategemea misaada Kila mwaka vipi unahisi vinaweza kufikia maamuzi sahihi?, havina uwezo hata kujilisha lakini bado unahisi vipo sahihi katika kukandamiza haki za raia wake.
Hadi hapo waafrika tutakapopevuka na kuweza kujisimamia kiuchumi, kisiasa na kijamii ndio siku tutaachwa kujiendesha wenyewe. Bara ambalo hadi Leo watu wake wanadanganya na viongozi wa dini na kufunga hadi kufa, watu ambao hadi Leo wanaishi kwa kutegemea na kutajataja Mungu, lazima tusimamiwe.
Mkuu, ninakuhakikishia ushoga unakuja Afrika bila wasiwasi, South Afrika imeshapitisha katika katiba Yao, hakuna nchi yoyote itakayoweza kuzuia ushoga, Uganda ndio mfano mzuri, ikifika December 2023, nchi zote za Afrika zitaikimbia Uganda, Uganda itabaki "Isolated" na ndani kutakua na "civil unrest".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hili daraja linaambaa na usawa wa bahari kutoka bagamoyo mpaka tanga. Itakuwa route fupi sana kufika Tanga. I think something like 150km from DSM au 2 hours drive only.Mm huwa nachanganya sana hili daraja, kwani hili sio lile la wami?
MV LIEMBA si iko kwenye mpango wa ukarabati na kuongeza meli nyingine?Kutoka hapa Kabwe Port/Rukwa ni km 24 tuu kufika Moba Port /DRC
Nilichanja mbuga na Boti hiyo ya Kienyeji ya Serikali.
Ziwa Tanganyika halina Meli inayofanya kazi View attachment 2642861View attachment 2642862View attachment 2642863View attachment 2642864
Serikali ongezeni uwekezaji kwenye maeneo haya Yana fursa nyingi sana za biashara.
Unajua wewe ni mjinga sana.Wewe hao watu wanakulisha? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dar inanuka sana Mzee
Naona walikua wanasubiri pangani ikamilike kama sikoseiNn kilizuia ujenzi wake mana render imetoka kitambo sana.
Ila wewe umenizidi ujinga 😁😁😁😁😁😁Unajua wewe ni mjinga sana.
Unazungumzia mambo ya Mpango Mzee,kama ni mipango Iko Toka Mwendazake akiwa hai ni porojo tuu Hadi keshoMV LIEMBA si iko kwenye mpango wa ukarabati na kuongeza meli nyingine?
wachochee kuni tuu sisi tutegemeee makaburi mengi ya halaiki
state house ya wale jamaa haahaaIkulu ya Nairobi 😂😂
Hizi takataka ni za nini mzee.?Office of the president Nairobi
View attachment 2643929
Office of the Deputy President Nairobi
View attachment 2643930
Sana mkuu. Watoto wa mwalimu hawa.Kumbe hata kagame tumemtengeneza sisi.
Ndio maana kuna msemo "Kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha ".Sasa mbona anajifanya kasahau.
The entrances of these buildings look like museumsOffice of the president Nairobi
View attachment 2643929
Office of the Deputy President Nairobi
View attachment 2643930
MAMBO YENYEWE NDO KAMA HAYA USEMAYO [emoji26]Kweli kabisa,walilipinga sana Hilo bwawa la nyerere ili lisijengwe kwa kisingizio cha ukame. Cha ajabu limejaa baada ya miezi tu kinyume hata na Makamba alivosema eti misimu 2 ya mvua.
Hapa inatufunza jambo, sio watanzania wote wanapenda Nchi hii
Isonge mbele.Kuna watu wako radhi kuua uchumi wa nchi kisa tu kuna visenti vichache wanapata kama rushwa
Bado tuna mito mingi Ambayo haijatumika kuvuna umeme. Mot kama Ruvuma,pale tungeweza pata zaidi hata ya 1,000MW lakini ndio hivo tena uongozi unatuangusha.Kuna wakati mpaka naona bora kuwe na utawala wa majimbo. Mfano jimbo fulani inaweza amua watege umeme wa maji,washushe bei ya umeme jimboni mwao na viwanda vishamiri. Na jimbo Jingine l linaweza amua kufunga umeme wa jua au upepo,alafu watajisifu wana umeme wa uhakika,bei ya umeme itakuwa juu,hakuna viwanda vitaweza kumudu bei,uwekezaji wa viwanda utashuka, mwisho wabaki kulia na kulikimbia jimbo Lao maskini
Kama tungeweza angalau kuwa na umeme wa maji wa angalau 10,000MW, tungeongoza afrika kiviwanda na hata uchumi kwani tungeweza shusha sana gharama ya umeme. Ujue,shetani mkubwa wa nchi hii ni tanesco na wizara yake. Kama tungeweza kumshinda huyo shetani,hii thread ya kenya vs TZ ingefungwa zamani sana.Ni aibu kwa nchi kama TZ kuzubaa na mpaka kufikia level ya kufanana na kenya.
Tumejichelewesha sana..inauma sana