Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ndio kama haya kaka 😂😂😂😂 mradi wa trillion 1.5 huu

Fh1nISVXgAAiLXK.jpeg
FoDk5_BX0AQ7A8J.jpeg
FoDk5_HWIAI0K7E.jpeg
 
African Morals means NO Homosexuality.
There’s no such thing as “African morals.”

Moja ya tamaduni ya Eswatini ni ceremony ambayo wanawake wana-dance wakiwa nusu uchi ( matiti yakiwa wazi) kugombania courtship ya mfalme. Hii tamaduni ni ya Eswatini lakini si tamaduni ya Afrika. Nchi nyingine Afrika hazifanyi hivi. Kwa hiyo ni upuuzi kusema kuwa kuna “African morals” Au “African values.” Besides, kuna nchi kadhaa Afrika zinazolinda haki za mashoga. Wao si Waafrika? Au wao hawafahamu chochote kuhusu morality? Usijaribu kusema chuki ni morals. Wewe ni mpumbavu.
 
Unataka kusemaje mkuu
 
Kitu kinachotufelisha watanzania ni unafiki na kujipendekeza ili kumfurahisha mtu, naamini na ndivyo ilivyo Magufuli hakuchukua zile measures za Bureau De Changes kwa utashi wake binafsi, alikua ni mtu wa kusikiliza sana wataalam na kuamini katika utaalam, sasa baada ya kifo uongozi uliopo umesikiliza mihemko na jazba za kina nape na wahujumu wachache waliobanwa kwenye kona kipindi cha JPM wakadecline utaratibu, matokeo yake Karma is always a cunt, sasa wamerudi kwa Magufuli

Laiti tudingekua na wanafki na wanaojipendekeza wataalam wa wizara na central bank wangemuambia tu ukweli kwamba mihemko sio professionalism
 
There’s no such thing as “African morals.”

Moja ya tamaduni ya Eswatini ni ceremony ambayo wanawake wana-dance wakiwa nusu uchi ( matiti yakiwa wazi) kugombania courtship ya mfalme. Hii tamaduni ni ya Eswatini lakini si tamaduni ya Afrika. Nchi nyingine Afrika hazifanyi hivi. Kwa hiyo ni upuuzi kusema kuwa kuna “African morals” Au “African values.” Besides, kuna nchi kadhaa Afrika zinazolinda haki za mashoga. Wao si Waafrika? Au wao hawafahamu chochote kuhusu morality? Usijaribu kusema chuki ni morals. Wewe ni mpumbavu.
Mkuu, umetiririka vizuri Sana, ila hapo mwishoni hukumalizia kiuungwana.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Uwanja umeinama wamebaki kujiangusha tuu kupoteza muda

Screenshot_20230602-105525_Opera.jpg
 
There’s no such thing as “African morals.”

Moja ya tamaduni ya Eswatini ni ceremony ambayo wanawake wana-dance wakiwa nusu uchi ( matiti yakiwa wazi) kugombania courtship ya mfalme. Hii tamaduni ni ya Eswatini lakini si tamaduni ya Afrika. Nchi nyingine Afrika hazifanyi hivi. Kwa hiyo ni upuuzi kusema kuwa kuna “African morals” Au “African values.” Besides, kuna nchi kadhaa Afrika zinazolinda haki za mashoga. Wao si Waafrika? Au wao hawafahamu chochote kuhusu morality? Usijaribu kusema chuki ni morals. Wewe ni mpumbavu.
Kwani mkuu wewe ni shoga?
 
Back
Top Bottom