Hata Burundi ni World stakeholder so it is nothing new.You think this is a coincidence, we are world stake holders. Our calibre is beyond nigerian politics View attachment 2640035
You mean white supremacy ideology?Kaburu alikuwa anapigana kuunga mkono vikundi vyenye Itikadi sawa na wao Ili kuwaondoa wenye Itikadi za Kijamaa.
Africa Ina ideology na culture yake ipi?You mean white supremacy ideology?
Pan African.Africa Ina ideology na culture yake ipi?
Sawasawa kabisa mkuu, kwa wale wenye Imani huyo ndiye Mungu, kwa wale wa upande wa pili huyo sio Mungu ni "Nature", Kila mtu awe huru kuamini kile anachoamini, tusilazimishane hizi Imani na kuona kwamba wengine wanapotoka.Huyo anayeweza kujitokeza mwenyewe ndiyo Mungu huyo, kama hizo nguvu za kimazingira zilijitokeza zenyewe bila muanzilishi basi ndiyo Mungu huyo ninayemuamini mm.
Mkuu, umesema vizuri Sana, Africa na hizi nchi zinazoendelea bado tupo na shida Sana, na tatizo letu kubwa sio umasikini wa kipato tu, lakini zaidi ni umasikini wa akili(elimu). Yaani bado kabisa hatujaelimika, yaani mtu anajiita msomi lakini bado anaendelea kuendeshwa na Imani badala ya facts, hii ni hatari Sana.Organized religion inaleta manufaa mengi lakini pia hasara kibao. Ukienda kanisani unaenda kusikiliza na kuondoka. Lolote atakalosema priest na Wewe unapokea bila ku-QUESTION. Religion imeondoa ability ya watu kuwa na critical thinking maana ni RADICALIZATION of the masses. Tofauti na shule, huwezi kuuliza maswali kanisani na Ndio Maana faith-based beliefs ni STRONG kwenye jamii ya evangelical Christians.
Kitu ambacho hawafahamu ni historia ya ukristo kwenye nchi zao na IMPLICATIONS Za dini. Wakoloni waliamini kuwa jamii zote duniani ambazo haziufahamu ukristo ni savages/uncivilized peoples. Lakini Afrika ilikuwa na civilizations zake kabla hata ya wazungu kuja na meli zao. Walikuwa na tamaduni zao na dini zao. Kuna jamii Afrika ushoga ilikuwa ni kitu cha kawaida. Na hii ni trend kwenye jamii nyingi zilizopitia ukoloni.
Lakini wakoloni wakaleta dini ya Ukristo na Sheria zao za serikali KUTENGUA tamaduni za watu wengine ili kuwatawala. Ndio Maana sehemu nyingi Afrika history was ERASED. Na sehemu ambayo ninakubaliana na Wewe zaidi ni kwenye BRAINWASHING kwasababu wakoloni waliitumia hii njia kwa juhudi sana Maana kuteka mtu kiakili ni more effective kuliko namna nyingine zote. Kwamba ukiwa Mkristo wakati huo ulikuwa unapata favors kama elimu, nguo, chakula kizuri, n.k. Kwa hiyo ilikuwa rahisi sana Kwa watu kukimbilia upande wao. Wao walichotaka ni kuondoa tamaduni walizozikuta na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana Afrika.
Lakini mpaka leo brainwashing inaendelea japokuwa si wazungu wanahusika bali waafrika. Na dini ina nguvu sana kwenye jamii Za kiafrika kwasababu ya umasikini. Watu wasio na ajira Au pesa wanapenda kutafuta tumaini. Wakisikia mtu anawaambia Mungu atakupa kazi ingalau mioyo yao inapata faraja. Ndio maana hata religious cults kama ile ya Kenya ilikuwa ni rahisi sana kuwaambia watu wakatae chakula ili wafe waende “mbinguni” kwasababu ni brainwashing ya kuwapa tumaini kuwa japokuwa wanapitia shida wakifa kuna sehemu Nzuri inawasubiri.
Sadc huwezi fananisha na EAC .EAC ndio ya wapuuzi na sadc Ina faida kwetu kwenye biashara . raisi wa Zambia , malawi au Mozambique kututembelea ni kawaida hawapo sadc tu pia ni majirani tumepakana naoHaha wamezoea kutembelewa na kina Ndayisime sijui chakwera sijui mnagangwa[emoji23][emoji23][emoji23] maupuzi za SADC
Kwenye Imani ndio kabisaa, huko hakuna maelezo kabisa zaidi ya nadharia tupu, japo kwenye sayansi tunaweza kuonyesha vitu vilivyofanywa kwa ushahidi, na Kila siku vitu vipya vinaumbwa. Huko kwenye dini na imani, Kuna lipi linalofanyika zaidi ya maneno maneno na kupigana kwa tofauti za Imani, kutapeliana pesa katika Nyumba za dini na kudanganyana?.Siyo kweli, mambo mengi sana bado hayana maelezo ya Kisayansi. Mfano bado watu hawajaweza kuelezea Mpemba effect .
Businesses need dollar to conduct operations how can you issue a dollar denominated domestic bond especially when there is scarcity of USD. This will kill the economy completely and results in free fall of KES.
Wewe ulisema kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi, nami nimekuonesha kuwa siyo kweli unless huijui sayansi vizuri, una donyoa donyoa tuu.Kwenye Imani ndio kabisaa, huko hakuna maelezo kabisa zaidi ya nadharia tupu, japo kwenye sayansi tunaweza kuonyesha vitu vilivyofanywa kwa ushahidi, na Kila siku vitu vipya vinaumbwa. Huko kwenye dini na imani, Kuna lipi linalofanyika zaidi ya maneno maneno na kupigana kwa tofauti za Imani, kutapeliana pesa katika Nyumba za dini na kudanganyana?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Halafu kama umechunguza hawa jamaa wakileta data zao lazima watafute nafasi ya kutuchomeka au kututaja na sisi [emoji1787] kwenye listThese nyanga'auz are really miserable!! Dah!!View attachment 2640726
Soma posts zangu vizuri uelewe nilichozungumza, Wacha kudandia train kwa mbele, pia ninasisitiza ujadili mada kwa nidhamu na kuheshimiana, huu mjadala ulianzia Jana, hakuna mtu aliyeanza kufanya "personal attacks", tafadhali jiheshimu.Wewe ulisema kila kitu kinaweza kuelezwa kisayansi, nami nimekuonesha kuwa siyo kweli unless huijui sayansi vizuri, una donyoa donyoa tuu.
Wakenya ni washenzi sn, wana tamaa mno pia sio wazalendo, yn kila wakifanya vimiradi vyao tunawaumbua pakubwa mno. Sasa ka expressway way chao kame cost pesa nyingi hivyo wakati yetu ni ndefu na bila shaka itakuwa ya mfano hapa EA na Afrika kwa ujumla lkn cost yake ni almost less than 10 times ya shakahola.Nairobi expressway yenye 27 km imecost Tsh trillion 1.5
Dar - Moro expressway yenye 215 km itacost Tsh trillion 1.9
[emoji28][emoji28][emoji28] Surely $68B debt halijaja kwa bahati mbaya
View attachment 2640942View attachment 2640943