Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahahaha sayansi sayansi hio sayansi inakataa dini lakini kwa nyuma ya pazia inajua dini ipo na kuna mwanasayansi mmoja aliegundua chuma alikiri kua vitabu vya dini vilisema juu ya chuma na akakiri ni kweli asili ya chuma sisi tunajua ni ardhini lakini chuma asili yake ilitoka juu😁😁😁😁
 
Ilikuwa ni kwa ajili ya Ulinzi na Usalama kwa nchi yetu. Bila hao majirani kuwa na usalama wangetumika kama kichochoro cha kuipiga Tanzania.

Kuna mwaka makomandoo wa kikaburu waliwahi kujipenyeza hadi Dar na kulipua daraja la Salender, na kulikuwa na operations nyingi zinafanyika, hivyo bila kuzikomboa hizo nchi hata hii amani tuliyo nayo tusingeipata.

Kenya wanajinasibu kuwa na uchumi mzuri ni kwasababu kipindi sisi tunazikomboa nchi za Kusini mwa jangwa la Sahara wao hawakujishughulisha kusaidia yoyote(Walikuwa wanajenga uchumi wao na kuharibu wa kwetu). Ingekuwa hatuna amani wao ndio kabisa ingekuwa nchi hovyo kabisa.
 
DR wanaoigana tunapakana nao vipi mbona wasiende kusaidiwa?

Zimbabwe,Namibia,Angola,South Africa Zina mpaka upi na Tanzania Hadi usalama Wetu uwe mashalani?
 
Mkuu, wakati vitabu vya dini vilikua vikisisitiza kwamba mtoto anatokana na kuchanganya damu kati ya baba na mama, sayansi ilikua kuwaonyesha kwamba mtoto hatokani na machanganyiko wa damu ya wazazi, dini zikabaki kuduwaa.

Wakati vitabu vya dini vinasisitiza binadamu kuzidisha ibada pale wanapokumbwa na matatizo makubwa ya Dunia Kama magonjwa Ili Mungu aweze kuwatatulia matatizo Yao, tumeshuhudia Vatican ikisimamisha ibada zote, na Saudia Arabia kufuta ibada muhimu kabisa ya Hijjah kwa kufuata maagiza ya wanasayansi na kuachana na maagizo ya Mungu ya kuzidisha ibada kwa kuogopa COVID-19.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Alimaanisha wana uwezo wa kuzaa kwamba akiingiliana na mwanamke, sasa kama kuzaa mpaka aingiliane na mwanamke lengo hasa la kuwa shoga ni nini.
Hili jambo liko kiroho zaidi japo watu wanalichukulia kimwili. Watu wa imani za dini wanaliita ni ushetani. Nakubaliana nao.

Yaani mwanaume anakuwa anawashwa washwa na kunyemvuliwa huko nyuma na anapata hisia kama za mwanamke.

Kwahiyo anakuwa anahitaji kukunwa na kusuguliwa ili apate raha zaidi.

Tukubali tukatae shetani yuko nyuma ya hiki kitu. Haiwezekani mwanaume mzima umtamani mwanaume mwenzako halafu iwe kama vile mke na mume.

Kuna mtu mmoja amesema hata Jesus hakukemea hili ila alifundisha upendo,namkumbusha kwenye Kumbukumbu la Torati alisema mwanaume asilale na mwanaume mwenzie kama mke, ni machukizo makuu kwa Mungu.
 
Dini ilikuja kwa ajili wanyama au wanadamu?
 
Kuna vitu kibao sayansi imeshindwa mpaka leo, sayansi tunaikubali lkn haiwezi kila kitu mzee.
 
Wanajifanya wana sayansi hawana dini ?[emoji16] sayansi ilijuiliza kuhusu wapi chuma inatoka zaidi ya karne 5 majibu hawana wakaja kupata kwenye kitabu cha dini na mwanasayansi huyo alikiri kabisa waziwazi
Sayansi mpaka leo imeshindwa kutoa jibu la tiba za magonjwa mengi tu mfano HIV, sayansi mpaka leo imefeli kutambua rangi ya upepo na wala shepu ya upepo, sayansi imeshindwa kutambua kwann kuna usiku, kwann kuna mchana na kivipi dunia inajiendesha kwa system kwamba miaka nenda rudi inajiendesha hvyo hvyo.

Sayansi imeshindwa kutambua chimbuko la mwanadamu ni nini, wanabaki kuongopa eti ni nyani, haya uyo nyani naye chimbuko lake ni wapi? Majibu hakuna.

Tuende mbele turudi nyuma japo sayansi tunaikubali mana nayo imetupa maendeleo fulani japo siyo makubwa kivile lkn kuna kitu fulani kipo nyuma ya pazia ambaye ndiye Mungu, uhai usitupe kiburi cha kuanza kuhoji uwepo wa muumba wetu.

Ok, mm sio mtu wa udini udini na huwa sipendi sana mijadala ya kidini lkn nina imani kubwa sana na muumba mana nikijiangalia tu naona nguvu yake, hata kama sio Mungu lkn huyo mwenye uwezo wa kuifanya dunia hivi ilivyo ndiyo kwangu namuita Mungu na hakuna cha kunirudisha nyuma, nitapinga ushoga, nitapinga ushenzi wowote ule kwa imani yangu.
 
Kuna vitu kibao sayansi imeshindwa mpaka leo, sayansi tunaikubali lkn haiwezi kila kitu mzee.
Hata dini mkuu, zimeshindwa na kukosea katika maeneo mengi kushinda hata sayansi. Uzuri wa Sayansi ni kwamba ni kitu kinachokua na kubadilika Kila siku. Quran na Bible ndio zimefika mwisho, there is no new updates ",,[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wanajifanya wana sayansi hawana dini ?[emoji16] sayansi ilijuiliza kuhusu wapi chuma inatoka zaidi ya karne 5 majibu hawana wakaja kupata kwenye kitabu cha dini na mwanasayansi huyo alikiri kabisa waziwazi
Na ukitaka kugundua nguvu ya Mungu basi angalia utoaji wa riziki, inazunguka leo kwa huyu kesho kwa yule, yani kwenye riziki ndipo nauona ukuu wa Mungu.
 
Sawa mkuu, hicho ni kibri cha uhai kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…