So hio propaganda ndio kigezo cha ushoga au??? Mbona hatuoni mbuzi dume akizaa au kondoo dume akizaa ?? Sijawah kuona wala kuskiaGay Animals Who Prove Same-Sex Love Is Natural
Humans aren’t the only ones born this way – countless other species have been observed engaging in same-sex relationships, too.www.peta.org.uk
Mkuu, ikikupendeza tuwekee ushahidi wa uwepo wa Mungu na Shetani, ukishapata ushahidi wao, tafadhali tunaomba ushahidi kwamba lengo la binadamu duniani ni kuzaa, nani aliyeweka hilo lengo na aliliweka lini?,,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Njaaa tuu hamna kitu hao Wavaa vokobasi 🤣🤣Na nimeskia juzi saud arabia ananunua diesel russia alaf anawauzia tena europe 😆
Kama europe mwanzo walikua wananua diesel kutoka russia 60$ per barrel sasa hvi wananunua 120$ per barrel
Hii vita ya one world order walishajua ni ngumu sana wao kushindwa ila sasa wanakamilisha ratiba na usifkiri russia anapigana na ukraine no way anapigana na nato yote 😆😆😆😆
Hizi zote ni dual citizenship especially marriages.In descending order
India------------------(75)
Yemen----------------(43)
Pakistan---------------(22)
Kenya------------------(12)
DRC--------------------(11)
Lebanon----------------(10)
Rwanda-----------------(4)
Somalia-----------------(4)
Afrika kusini--------------(3)
Lithuania-----------------(2)
China--------------------(2)
Ugiriki--------------------(2)
Uingereza-----------------(2)
Uswizi---------------------(2)
Zambia-------------------(2)
Zimbabwe-----------------(2)
Cameroon-----------------(1)
Cuba----------------------(1)
Japan---------------------(1)
Oman---------------------(1)
Palestina-------------------(1)
Sierra Leone----------------(1)
Sasa kama hawaamini uwepo wa Mungu bro kwann hawarudishi uhai wa mtu kwann hawarudishi uzee kua kijana mbona simple tu mbona hawazuii kifo kwann wanatengeza roboti lakini sio binaadamu ??Mm sijaingizia suala la Mungu mana kwa mantiki ya waleta hoja hawaamini uwepo wa Mungu, na jambo hili linazidi kuota mizizi humu JF na ndiyo chanzo kikubwa cha ushetani siku hizi.
Tunasema, wenye kuamini Mungu "ruksa", wasioamini Mungu "ruksa", tusilazimishane Imani.Mm sijaingizia suala la Mungu mana kwa mantiki ya waleta hoja hawaamini uwepo wa Mungu, na jambo hili linazidi kuota mizizi humu JF na ndiyo chanzo kikubwa cha ushetani siku hizi.
Mkuu, japo Mimi nimekuwekea ushahidi hata Kama umeukataa, tafadhali tunaomba ushahidi wa uwepo wa Mungu na Shetani ambavyo ndivyo msingi wa hoja zako, mkuu punguza maneno mengi lete ushahidi, au vipi nyoosha mikono juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]So hio propaganda ndio kigezo cha ushoga au??? Mbona hatuoni mbuzi dume akizaa au kondoo dume akizaa ?? Sijawah kuona wala kuskia
Nilikwambia tena na ninarudia kwenye haki za binaadamu nyuma yake kuna propaganda kubwa ya kikatili iliojificha
Na kama ww hujui lengo ni kuzaa niambie ww ulikuja kufanya nn duniani?? [emoji38][emoji38] na usinambie ulizaliwa bahat mbaya na kama sio lengo kwann watu wazae na nani aliwafundisha kua wakikutana watapata mtoto au bahati mbaya kama sayansi inavotudanganya kua binaadamu alitokaba na nyani ?? [emoji16][emoji16][emoji16]wengine wanakwambia dunia ilikuja by nature tu
Intelligence ni kitu nyeti kaka hatuwezi kujua yandani zaidi,Tunawapa Wapakistan, Wayemeni na Walebanon uraia? Hivi intelligence yetu ipo wapi? imelala?
Uwepo wa Mungu uko kwenye vitabu vya dini na bahat nzuri uwepo wa Mungu kuna ishara nyingi kwa wenye akiliMkuu, japo Mimi nimekuwekea ushahidi hata Kama umeukataa, tafadhali tunaomba ushahidi wa uwepo wa Mungu na Shetani ambavyo ndivyo msingi wa hoja zako, mkuu punguza maneno mengi lete ushahidi, au vipi nyoosha mikono juu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haha wamezoea kutembelewa na kina Ndayisime sijui chakwera sijui mnagangwa😂😂😂 maupuzi za SADCYou think this is a coincidence, we are world stake holders. Our calibre is beyond nigerian politics View attachment 2640035
Alivyosema hivyo niliishia kusoma maneno yake kisha nikacheka sana nikapita zanguRussia ni failed state?? Ww kweli hamnazo nchi inawajambisha wazungu kila kukicha unasema failed state?? Tafuta mganga akuague bado mapema[emoji38][emoji38][emoji38]
Jamaa kaonyesha ujinga wa hali ya juuMkuu, sidhani Kama ni busara kushabikia nchi kwa sababu ya fedha, huko ni kujishusha na kujidhalilisha Sana, Tanzania tunaheshimika Sana duniani kwa kuwa nchi yenye kusimamia utu na uhuru wa raia pote duniani bila kujali fedha, rejea hotuba ya Nyerere kuhusu "Wanasiasa wenye tabia za umalaya".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu, Kama kuzunguka kwa dunia kupata usiku na mchana ndio ushahidi wa kuwepo kwa Mungu, Ina maana kwenye mwezi Mungu hayupo kwasababu hakuna kuzunguka Wala usiku na mchana hakuna.Uwepo wa Mungu uko kwenye vitabu vya dini na bahat nzuri uwepo wa Mungu kuna ishara nyingi kwa wenye akili
Hii dunia tu kuzunguka kupatikana mchana na usiku ni tosha kujua kua kuna mwenyewe hakuna kitu cha bahat mbaya
Binaadamu anehangaika miaka na miaka kujua roho ni nn?? Mpaka leo hakuna anaejua hata mfano wa roho na kuna baadhi ya wanasayansi wanakubaliana na vitabu vya dini
Ngoja mm nikufunue kidogo bro unajua ni kwann israel wanapigania sana msikiti ule wa aqsa ulieko palestine unajua sababu kuu kwasababu unaeza jiuliza wayahudi sio waislam mbona wanapigani kuupata ule msikiti heheh nitafute kwa muda wako nikupe elimu muruaa kabisa [emoji16]
Ndio maana hua nakwambia haki za binaadamu ziko afrika tu kwengine kote hakuna haki hzo [emoji16][emoji16]
Jipe exercise ya kujua vifungu vya nchi yako vinavyopinga ushoga***** ni dad Yako
Namaanisha uwepo wa dunia kuzunguka kupatikana mchana na usiku na kila kitu ni ishara kua mwenye dunia yake yupo swali ni rahisi nani anaekipulizia roho kiumbe ?? Roho ambayo wanasayansi wameshindwa hata kujua ni kitu gani hahaha 😁😁 mm silazmishi mtu aamini nitakavyo lahasha ila tunajaribu kuekana sawaMkuu, Kama kuzunguka kwa dunia kupata usiku na mchana ndio ushahidi wa kuwepo kwa Mungu, Ina maana kwenye mwezi Mungu hayupo kwasababu hakuna kuzunguka Wala usiku na mchana hakuna.
Mkuu, ni Bora tukubaliani kwamba Kila mtu aishi na kuamini kile anachopenda, tusilazimishane Imani, kulazimishana Imani ndio chanzo Cha vita na migogoro duniani.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Najua na tayari Kuna watu wamehukumiwa ila adhabu sio za kuuwawa kama hao Jamaa wa Uganda.Jipe exercise ya kujua vifungu vya nchi yako vinavyopinga ushoga
Ha haaaa Unashangaa leo uganda kufanya hivyo,
Wakati nchi ilishayamaliza hayo mda sana
Upo rush sana,
Mkuu, Kila kitu kina maelezo yake ya kisayansi, unaweza ukaamua kukataa maelezo ya sayansi na kubaki na Imani yako, hiyo ni hiari yako. Muhimu ni Kila mtu awe huru kuamini kile ambacho akili yake inakiamini na kukielewa, kwasababu hata nikikuomba ueleze "roho" ni nini na nikiomba uweke ushahidi wa kuwepo kwa hiyo "roho" utarudi Kule Kule kwenye nadharia na Imani za dini.Namaanisha uwepo wa dunia kuzunguka kupatikana mchana na usiku na kila kitu ni ishara kua mwenye dunia yake yupo swali ni rahisi nani anaekipulizia roho kiumbe ?? Roho ambayo wanasayansi wameshindwa hata kujua ni kitu gani hahaha [emoji16][emoji16] mm silazmishi mtu aamini nitakavyo lahasha ila tunajaribu kuekana sawa