Kwenye maisha, as a Ninja, sio kila rafiki yako ni rafiki wa uhakika (genuine friend), hivyo sio sahihi kujitoa KIVILEEE. Nyerere alifanya makosa makubwa sana kwenye Jumuiya ya kwanza ya Africa mashariki kwa kuwaamini hawa hayawani wakuitwa "Wakenya".Mkuu nahitaji maoni yako katika hili.
Unafikiri suala la:
1. Sarafu moja.
2. Uongozi mmoja wa kisiasa EAC(federation)
Nikimaanisha sote Afrika Mashariki tukubali kuachia sovereignty zetu na kuwa nchi mmoja kuongozwa na raisi mmoja.
Linawezekana kwa jinsi tunavyokwenda ndani ya miaka hii 15 ijayo?
How many kilometers??😆😆😆😆The longest Dual carriageway in East and Central Africa
View attachment 2637236View attachment 2637237
Changamoto sana kaka. Si hizo fedha hata wangeunda taasisi ya kusaidia watu hapa nchini hasa wale wenye hali ngumu kuna Watanzania wengi wanakabiliwa mengi kuanzia kwenye afya, makazi yaaani duuh!!Double standard na wanaharakati uchwara hawasemi, kipi bora kati ya Magu aliekua akiwasaidia watu wa chini huko barabarani (walimkosoa mno) au huyu anaetoa kila siku mabilioni kwa watu wenye pesa ndefu tayari!
industrial zone vp wakati naona ka-warehouse kamoja tu!Northland City Kenya (Industrial zone )
View attachment 2637329