Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu nahitaji maoni yako katika hili.
Unafikiri suala la:
1. Sarafu moja.
2. Uongozi mmoja wa kisiasa EAC(federation)

Nikimaanisha sote Afrika Mashariki tukubali kuachia sovereignty zetu na kuwa nchi mmoja kuongozwa na raisi mmoja.
Linawezekana kwa jinsi tunavyokwenda ndani ya miaka hii 15 ijayo?
Kwaharaka haraka hili swala linaonekana ni ngum kutokea

Rwanda naTz hatuaminiani
Kenya na Tz hatuaminian
Rwanda na Burundi hawaaminian
Rwanda na Congo hawaaminian
Rwanda na Uganda hawaaminian

Sas hapo tutawezana vp
 
Kwa muda mrefu nikipita mtandaoni hasa FB na hata JF nakuta debate juu ya watanzania na wakenya juu ya maisha ya nchi husika. Kila mtu akijaribu kutetea upande wake.

Mimi binafsi sijawahi kufika Kenya lkn kwa sasa nasema Tanzania ni best kuliko Kenya.

Sasa mwenye ubishi wake na apost hapo. Hizo chini ni baadhi ya hoja ambazo nimekutana nazo.
IMG_20230527_180925.jpg
IMG_20230527_180942.jpg
IMG_20230527_180859.jpg
IMG_20230527_180843.jpg
IMG_20230527_180823.jpg
IMG_20230527_180806.jpg
 
Kwa muda mrefu nikipita mtandaoni hasa FB na hata JF nakuta debate juu ya watanzania na wakenya juu ya maisha ya nchi husika. Kila mtu akijaribu kutetea upande wake...
Watu hawaelewi contents zako mjomba 🤣🤣🤣🤣
 
Angalieni nyumba ambayo ni popular shakahola, hii ndio national dream house 😅😅😅😅😅🤣🤣😂😂

Dah aisee hawa watu wana Safari ndefu sana kwenye standards za makazi, hii Tanzania ni uchafu hata local fundi hajengi hivi, hii nyumba huwezi kuta imejengwa miaka hii ya 2000s labda 1960s

20230528_051932.jpg


 
Mashakahola yanasema kuishi haya maisha yenyewe ndio yametufundisha 😂😂😂😂

Mashashola angalia hii video, hizi nyumba zina zaidi ya miaka 40 hapo Shekilango 15 km from CBD na hujawahi kuziona zikiwekwa humu kila saa kama hivyo vighorofa vyenu vya vumbi


Mashakahola yakiona tunajenga hivi yanasema tunayaiga 😂😂😂😂

Dodoma hiyo
20230528_054020.jpg
20230528_054017.jpg
20230528_054013.jpg
20230527_194758.jpg
20230527_194809.jpg
 
Back
Top Bottom