joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kitu Cha kujiuliza ni kwamba, tangu hii reli ya Uganda na Kenya inaanza kuzungumza, hakuna nchi wala Benki yoyote iliyokubali kutoa pesa, tangu 2014 hadi Leo hawajapata hata wa kuwapa ahadi, hata mchina mwenye kupenda kukopesha bila masharti makali pia amegoma.Hio zuga mzee na hii sio mara ya kwanza kusaini mikataba kama hio, museven ni mjanja sana hawezi kuanza ujenzi mpaka kenya wasogeze reli malaba shika maneno yangu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app