Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio zuga mzee na hii sio mara ya kwanza kusaini mikataba kama hio, museven ni mjanja sana hawezi kuanza ujenzi mpaka kenya wasogeze reli malaba shika maneno yangu
Kitu Cha kujiuliza ni kwamba, tangu hii reli ya Uganda na Kenya inaanza kuzungumza, hakuna nchi wala Benki yoyote iliyokubali kutoa pesa, tangu 2014 hadi Leo hawajapata hata wa kuwapa ahadi, hata mchina mwenye kupenda kukopesha bila masharti makali pia amegoma.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mbeya kuna world's class medical facilities ambazo huwezi kuzikuta kwenye any public medical facility in Nairobi, mshakahola aje kubisha kwa ushahidi

 
It simply means Kenyans consume more waru than Tanzanians. Same way we import gas from Tanzania yet still use more gas than Tanzania.

Wewe na huyu nani kaandika ukweli?

Drought ilimaliza viazi zote, ata sahii hakuna viazikenya.
But from July viazi zitakuwa Hadi zinaozea kwa mashamba,
Viazi zinatoka highlands of rift valley and aberdare.
 
It means you produce good food but your people consume poor quality food while exporting the good food.
 
Kwa muda mrefu nikipita mtandaoni hasa FB na hata JF nakuta debate juu ya watanzania na wakenya juu ya maisha ya nchi husika. Kila mtu akijaribu kutetea upande wake.

Mimi binafsi sijawahi kufika Kenya lkn kwa sasa nasema Tanzania ni best kuliko Kenya.

Sasa mwenye ubishi wake na apost hapo. Hizo chini ni baadhi ya hoja ambazo nimekutana nazo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…