Kweli kabisa, wafanyakazi wengine wa umma posho ni ya manati, hivyo inaeleweka wao kutolipa kodi ila wabunge posho kila wakiingia bungeni, ni kama ujira wao rasmi. Hiyo pesa ya posho inatakiwa ilipiwe kodi kama Bashe alivyosema.Ambao hawalipi kodi ni wale wa kisiasa wanaoteuliwa na Rais, pamoja na rais mwenyewe.
Rais, makam rais, waziri mkuu na mawaziri, majaji, RC, DC hao tu ndo hawalipi kodi.. lakin wengine wote tunalipa kodi PAYE na pia hakuna hata mtumishi wa umma anaelipa kodi kwenye posho.
Kwa mbunge, mshahara wake (basic) ni mil 4.6 ila kila anapoingia bungeni na kusaini posho ya siku Tsh 330,000 ndo unapata gross salary inakuwa 12 milioni kwa mwezi, kama hauingii bungeni unaambulia tu 4.6 mil.
I wish Yapi Merkez wapewe mradi mmoja wa BRT.Battle ni maneno matupu tuu..
Hakuna miradi mipyaa..
Maneno ya mshakahola mmoja.. View attachment 2635944
Hizo zinajumuisha hata wasaidizi wa wabunge, mafuta, sijui chakula, nauli, hotel etc ila haziwatoshi kwa kweli 😐Kweli kabisa, wafanyakazi wengine wa umma posho ni ya manati, hivyo inaeleweka wao kutolipa kodi ila wabunge posho kila wakiingia bungeni, ni kama ujira wao rasmi. Hiyo pesa ya posho inatakiwa ilipiwe kodi kama Bashe alivyosema.
Kaka, Afrika hatuna hata miaka 70 toka tupate Uhuru, Wachina wanamiaka 200 tena hawakutawaliwa kiivyo kama sisi. Let's move on na battle, tunawachosha wenzetu.China ilitawaliwa Kama ilivyotawaliwa Africa, Kumbuka historia ya Mfalme Leopard wa Ubelgiji alivyotawala DRC, alichukua Mali zote na kufanya udhalimu mkubwa, kwahiyo hata China ilidhulumiwa Kama tulivyodhulumiwa sisi waafrika, Kumbuka enzi hizo hakukuwa na marufuku au uharamu wa bidhaa yoyote Ile, iwe ni madawa ya Kulevya, binadamu wazima au hata viungo vya binadamu, biashara zote zilifanyika katika makoloni yote.
Jambo la kuishangaza ni kwamba baada ya ukoloni, China na nchi zingine zilizotawaliwa, zilijipanga na kuangalia madhahifu Yao yaliyosababisha kutawaliwa na kunyanyaswa na kuyarekebisha, Africa na nchi zingine badala ya kukaa na kujitathmini madhahifu Yao, tumebaki kuwalalamikia wazungu kwa mapungufu yetu wenyewe.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Duh, yaani wanatukamua hivi, na bado wanatumia bunge kuwadhamini mikopo yao binafsi?Hizo zinajumuisha hata wasaidizi wa wabunge, mafuta, sijui chakula, nauli, hotel etc ila haziwatoshi kwa kweli 😐
Haziwatoshi kwa maana sio hawaridhiki nazo, no, ni haziwatoshi kuwahudumia.. mil 12 kwa mbunge ni maisha magumu sana.. ndo mana wanakopa..Duh, yaani wanatukamua hivi, na bado wanatumia bunge kama mdhanimi kukopa?
Ingeleta utofauti kidogo..I wish Yapi Merkez wapewe mradi mmoja wa BRT.
Cha msingi waone na majiji makubwa..Ingeleta utofauti kidogo..
Ila kwangu mimi naona Strabag wakifanya itapendeza zaidi.
Ni wao tuu kutokuwa na akili ya kibiashara, hao wakina Msukuma, Aboud na hata Dewji wametumia bunge kuombea mikopo kwenye biashara zao. Hata wewe ungeweza kupata mdhamini wa kukukingia kifua benki kupata mabilioni ungefanya mara elfu ya unayoyafanya sasa.Haziwatoshi kwa maana sio hawaridhiki nazo, no, ni haziwatoshi kuwahudumia.. mil 12 kwa mbunge ni maisha magumu sana.. ndo mana wanakopa..
afu na wao wana standard zao pia.. so kutegemea mshahara tu watakuona mtu wa chini..so wanajikakamua wakope waonekane na wao wako vizur kama wengine madosi (mf unaona mbunge mwenzako either ana shule, hotel, sijui mradi gan mkubwa.. bas lazima na wew utataka uwaige).. lkn mikopo ndo inawaumizaga kwa kutaka kuonekana wao vizur pia kwa kujilanganisha na wabunge wengine wajanja mjini
Hao uliwataja ni matajiri hata kbl hajawa wabunge.. utajiri wao ndo umewaingiza bungen, kuwa bungen sio sababu ya kukufanya uwe tajiri, japo wanachofaidika nacho ni kinga za kisiasa wakiwa wabunge.. wakitoka huko wanaanza kufilisika, na sio kila mbunge ana akili ya biashara kwamba wote wana mafanikio.. wengi tu (ukiachana na wale madoni au wajanja) ni mafukara na wana msongo wa mawazo ya kimadeniNi wao tuu kutokuwa na akili ya kibiashara, hao wakina Msukuma, Aboud na hata Dewji wametumia bunge kuombea mikopo kwenye biashara zao. Hata wewe ungeweza kupata mdhamini wa kukukingia kifua benki kupata mabilioni ungefanya mara elfu ya unayoyafanya sasa.
BRT phase 4 .? 🤣 Hawa jamaa watakula chuma vibaya mno Nicxie mtazificha wapi sura zenu, miradi ya kimkakati ndio hivyo tena 🤣🤣🤣Battle ni maneno matupu tuu..
Hakuna miradi mipyaa..
Maneno ya mshakahola mmoja.. View attachment 2635944
Battle inazid kua ya moto ndugu kuna siku niliwaambia apa kuna wwatu umu ndani watakimbia..BRT phase 4 .? 🤣 Hawa jamaa watakula chuma vibaya mno Nicxie mtazificha wapi sura zenu, miradi ya kimkakati ndio hivyo tena 🤣🤣🤣
YeahIna maana hizo Megawatt 7 tulizopewa tunanunua?
It simply means Kenyans consume more waru than Tanzanians. Same way we import gas from Tanzania yet still use more gas than Tanzania.Sasa mbona “waru” nyingi zinazoliwa kenya zinatoka Tanzania!