Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Caster Semenya was a class of her own … no other female was even closer…. But if you look closely, she resembles a real man…. Her body, her muscles…. But based on our normal definition of a woman, she’s a normal girl because she has a vagina between those muscle legs….. you learn something new everyday…🤣🤣🤣
a women is a female adult with XX chromosomes
 
Aiseee, kwahiyo sisi waafrika tupo "helpess" kabisa, hatuna uwezo wowote wa kujiamulia lolote tunalotaka, yaani wazungu wanatugeuza vile watakavyo?.
Viongozi wanaojitambua wapo, Magufuli ni mmoja ya viongozi waliojitambua ila ndo hivyo hakukaa.
Mkuu, tunahitaki kujikomboa kifikra, hili ni tatizo kubwa Sana tulilonalo. Kwahiyo hata hapo Kenya Kila uchaguzi wanachinjana, tuwalaumu wazungu?
Kenya sumu ya ukabila ilishawekwa na waingereza toka kipindi cha ukoloni na kwa bahati mbaya wamekosa kiongozi mwenye akili kulitambua hilo.

Waingereza ni mabigwa wa kugawa watu, siyo Afrika tuu, walifanya hivyo bara hindi kwa kugawa India na Pakistan, mpaka leo hawapatani. Akitokea kiongozi mwenye akili wa kutaka kuleta amani kama Imran Khan (Pakistan), wanamuondoa.
 
Ase hii picha ya hili jengo la DODOMA SGR station sijawah kuiona
20230525_102958.jpg
20230525_102947.jpg
 
Caster Semenya was a class of her own … no other female was even closer…. But if you look closely, she resembles a real man…. Her body, her muscles…. But based on our normal definition of a woman, she’s a normal girl because she has a vagina between those muscle legs….. you learn something new everyday…🤣🤣🤣
Semenya is an intersex (born like that). She didn't do any hormone therapy to increase her testosterone level like some of these freaks do.
 
Aiseee, kwahiyo sisi waafrika tupo "helpess" kabisa, hatuna uwezo wowote wa kujiamulia lolote tunalotaka, yaani wazungu wanatugeuza vile watakavyo?.

Mkuu, tunahitaki kujikomboa kifikra, hili ni tatizo kubwa Sana tulilonalo. Kwahiyo hata hapo Kenya Kila uchaguzi wanachinjana, tuwalaumu wazungu?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yes tuwalaumu wazungu maana wamewaletea democracy kabla ya kuwakomboa kifikra. You don't copy democracy ali mradi imefanikiwa sehemu fulani you can have your own home grown democracy as in the case with Tanzania sisi tunajitambua hatukopi tuu vitu toka nje bali tunaangalia na mazingira yetu
 
a women is a female adult with XX chromosomes
Great response….. am glad you responded with science… but now remember in certain isolated cases these chromosomes are not balanced…… and that’s the argument gay and lesbian advocates push. Am not God to understand why it happens but in developed countries where science is advanced, majority of the population have come to accept that being homosexual could be biological and not necessarily a lifestyle choice. But our African culture and traditions may not arise to that level for now but as new generations become scientifically enlightened, even our future African grand Children will have a different school of thought. Remember there are things we do today that our parents or grandparents generations was considered a taboo… for example women wearing trousers….. Today Dar women walk around in the latest fashion…. Am sure there is a time not too long ago that would have been impossible…. So trust me, even the gay thing will evolve in Africa one day….Just look at the case study I gave of someone we all know… Caster Semenya…
 
Jamani hili dafu tunalisaidiaje maana hii sasa italeta instability kwa EA economy.

Kuna mshakahola mmoja juzi alileta lame excuse eti wabongo tunaharibu uzi kwamba tunaongea sn hakuna picha, yani picha mpya zinazotupiwa humu kutoka bongo anajifanya hazioni

Sisi tuna miradi mingi sn mipya kuliko miradi inayofanyika nchi zote za East and Central Africa combined, huwa tunaweka picha za miradi mipya ikikamilika alafu tunapost siku mbili tatu tunaachana nazo, wao daily ni expressway, GTC wamemaliza. Juzi tumeweka new white house tumeshaanza kuachana nayo, now tutaanza kuipost extended canopy soooon
 
Back
Top Bottom