NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,977
Hadi mnaiba gorofa za Harare Zimbabwe 🤣🤣
Hadi mnaiba gorofa za Harare Zimbabwe 🤣🤣
Iko wapi?Hadi mnaiba gorofa za Harare Zimbabwe 🤣🤣
Sawa afisa kutoka kampuni ya boeing asante kwa mapovu kwan mapovu bei gan??🤣🤣🤣This one will not fly for more than 3 months before iaribike
Wivu utakuuaThis one will not fly for more than 3 months before iaribike
lol......these people are 20 years backward...Good evening my good Kenyan friends and all the sorcerers from Tanzania. I'm back.
Nimelog in and the first picture nimekutana nayo is this one, Primitivity of the highest order. Watu waliacha kutumia mouth pipetting kitambo sana but because Tanzanian schools are still backward, they are encouraging it.
View attachment 2549219
Anaona kabisa ndege iko kiwandani boeing lakini anakwambia second hand kisa wao wamezoea zile leased aircrafts ni second hands na sio zao 🤣🤣🤣🤣🤣Wivu utakuua
shule imechakaa kwelikweliAzania Secondary School (Azaboys), government school.View attachment 2548897View attachment 2548898View attachment 2548899View attachment 2548900
Hata zile zenye zimeharibika si pia nilisema tu hivi mkasema ni wivu. Nyinyi kila kitu mnanunua bonoko.Wivu utakuua
Canopy ndio hua inajengwa hvo ??🤣🤣🤣 kwan wivu wako unauzwa shs ngap?Kwani how long does it take to build a canopy? I thought vile nilienda ntarudi nipate kama canopy imesha😂😂. These people are seriously lazy.
View attachment 2549754