Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Kenol - Marua Highway

Ile ndege iliyokamatwa pia washamalizana so nayo soon inaingia.kweli muna hasira za kutosha musiondoke hii group mpaka tarehe 2 june kuna jambo kubwa la kihistoria na zawad kubwa kwenu
Na terehe 31 may kna jambo kubwa adhimu pia so musiondoke wala musitumie hasira![]()
Marubani wameondoka jana usiku kuichukua ndege akiwemo yule rubani wa kike."Saa chache zilizopita"
Safari za mwisho za ukaguzi (functional check) ya ndege ya mizigo "Air Tanzania Cargo" aina ya #Boeing767 5H-TCO kutoka uwanja wa ndege wa kiwanda cha Boeing #PaineField.
Mkakati wa kusafirishwa hadi Uwanja wa Ndege wa GMTT (Tang Ibn Battouta-Morocco) imeratibiwa kufanywa Mei 31.
Kumbuka Ndege iliyoundwa maalumu kwa kupakia Mizigo huwa hazina madirisha tofauti na yale ya mbele kwa rubani.
Chanzo:
Paine FieldView attachment 2633195
USA is not our role model, we are not slaves like you. We have our own way of life. The truth of the matter is that "You have nothing to celebrate".Signs of a failed country ni mambo positive ya nchi ndio iko mitandaoni kila mahali na kusifu serikali kwa kila kitu kama North Korea.
Ata America don't have 100% positive news kwa media zao and its the most developed country on earth, lazima kuwe na mashida
Ni aina gani hio?Ile ndege iliyokamatwa pia washamalizana so nayo soon inaingia.
Ni air bus A220 kama sikosei.Ni aina gani hio?
Safi kabisa na mwaka huu zitaingia boeing 737-9 ziko mbili pia yani tunataka 2025 tuwe na watalii walau 4m to 4.5m kwa mwakaNi air bus A220 kama sikosei.
Wacha kulia lia, picha zinawekwa kila siku na ni mpya, tofauti na nyie daily mnapost xpress way na GTC, kama mnataka kukimbia uzi kimbieni mana ndicho tunachotaka hicho ili tubaki pekeetu tupeane vitasa wkt nyie mnachungulia kwa mbali.Watanzania mnaharibu huu uzi, mtabaki huku pekee yenu mkijiongelesha. Unaingia uzi kutoka juu hadi chini hamna picha za dar ni matweet tu za ichoboy na joto na maneno tupu na porojo
Mnyama Max uyo, huyu hapaSafi kabisa na mwaka huu zitaingia boeing 737-9 ziko mbili pia yani tunataka 2025 tuwe na watalii walau 4m to 4.5m kwa mwaka


Sisi hatunaga baya ndiyo maana tunafanikiwa, hawa washakahola ni mbwa sana, wana roho mbaya pia ni wabinafsi sana wacha wafe kwa chuki.Kuna namna hii nchi inapokea baraka za moja kwa mojq, yaani kila tunachoshika siku hizi kinageuka dhahabu![]()
Kwani hakuna wakenya wanaoishi Tanzania?, wajitokeze waeleze Kama huku Kuna ujinga au watu kufariki hovyo Kama huko kwenu.Wanapost too much unnecessary news na tweets za kusifu CCM hadi wakijengewa choo kwa zahanati. Its a sign of a dictatorial country. Ata unaweza fikiria Tanzania hakunanga ajalai au kifo