ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,427
- 88,515
Dar
Sasa Tanga Ina maendelea yapi Sasa ya kuzidi Mbeya? Mbona unataka turudi kinyume nyume wakati kila kitu umeshindwa kwenye battle?Population ndio maendeleo.? 🤣 U crazy.. ukubwa wa population ndio ukubwa wa eneo.? 🤣🤣 Chizi kweli wewe..
Umeshinda nini kwenye battle Bro.? 🤣🤣 Unplanned settlements all around your village center.? Less industries.? Lack of paved roads.? Au kampuni za Mabasi za wenyewe.? 🤣🤣Sasa Tanga Ina maendelea yapi Sasa ya kuzidi Mbeya? Mbona unataka turudi kinyume nyume wakati kila kitu umeshindwa kwenye battle?
🤣🤣🤣🤣 We ni Chizi wa wapi hii ipo ndani ya Mbeya City, au unataka na mimi nikuletee picha za border ya Tz-Kenya kwa Upande wa Tanga Horohoro.?
Tulianza na mabasi mengi na Makali ukakimbia,Umeshinda nini kwenye battle Bro.? 🤣🤣 Unplanned settlements all around your village center.? Less industries.? Lack of paved roads.? Au kampuni za Mabasi za wenyewe.? 🤣🤣
Unajitahidi sana kuhamisha magoli 😁😁.🤣🤣🤣🤣 We ni Chizi wa wapi hii ipo ndani ya Mbeya City, au unataka na mimi nikuletee picha za border ya Tz-Kenya kwa Upande wa Tanga Horohoro.?
🤣🤣🤣🤣 Hold on.. ulitaka kunionyesha hayo mabati au.?Unajitahidi sana kuhamisha magoli 😁😁.
Tanga sio size ya Mbeya utaumia Bure ,soma hizo mbao hapo chini 👇View attachment 2614608View attachment 2614609
Kwani hujasoma mbao hizo?🤣🤣🤣🤣 Hold on.. ulitaka kunionyesha hayo mabati au.?
Wacha kulinganisha mapori na miji iliyoendelea Bro...Tulianza na mabasi mengi na Makali ukakimbia,
GDP hujagusa
Mapato ndio kabisaa Mapato ya Wilaya ya Chunya ya Madini yamezidi Bandari ya Tanga,
Mandhari uliishia kusikojulikana,
Vyuo Vikuu na vya kati nilikutandika knock out
Barabara Kali Tanga ni kama hakuna
Viwanda nilikwambia leta idadi ya Viwanda jumla ukaishia kuonesha viwanda vya Saruji na smart card basi
Tanga hakuna Airport na sijui hata kama mtakuja kupata
Projects on pipeline,uliishia kuleta Bomba la mafuta huko Mbeya ilishatoka zamani sana 😁😁
Kwenye potential ndio kabisaa Tanga inategemea Bandari basi wakati Mbeya ni kila kitu unapata..
Mwisho nakupa taarifa mbaya kwamba Sasa kutakuwa na maonesha ya Kimataifa ya Kilimo (Name Nane) na uwanja wa J Mwakangale na Nanenane Dodoma ndio vimecuaguliwa,tegemea maonesho kama sabasaba broo na Mwaka huu Kitaifa ni Mbeya tena.
Kujifariji ruksa,Projects za Tanga ni zipi? Mbona huzitaji? 😁😁Wacha kulinganisha mapori na miji iliyoendelea Bro...
Kampuni ulizataja za mabasi zenye asili ya mbeya hazifiki tano 🤣🤣 while mimi nimekutajia kampuni 17 zote zinamilikiwa na wakazi wa tanga .. hujiskii vibaya.?
Kuhusu projects kubwa za maana zenye tija kubwa kwa taifa kando ya kilimo Mbeya ni nothing compared to Tanga.. kuhusu miundombinu ndio wala usiseme kitu mana hapo utakula za uso sio majengo sio barabara, ..
Ona nakupea hii assignment uniletee at least 100 meter road enye ni dual huku kijijini kwenu 🤣🤣🤣
Wewe ni mlevi bila shaka.. Tanga iko na viwanda vinne vikubwa vya Cement .. bomba la mafuta kutoka UG ambapo Tz itapata 40% ya faida ya bomba hilo plus Tanga iko n bandari ambayo Ina handle 1 million tonnes annually 👇Kujifariji ruksa,Projects za Tanga ni zipi? Mbona huzitaji? 😁😁
Mbeya Kuna megaw 200 za umeme,Kuna kiwanda Cha Rare earth elements,kutakuwa na kiwanda Cha Neobium pale Songwe gerezani ,Tanga kutakuwa na nini?
Hii ndio area Mbeya inaizidi Tanga, bas kwasababu huko ni porini kilimo tu.. sio kitu kingine chochote kwa groundSama boy 255 View attachment 2614625Angalia consumption ya Mbolea kwenye Kilimo Mbeya harafu linganisha na Tanga ,ukipata jibu kaa kimya
Hesabuni scania new model hzo za asas alaf zimeuma trailer superdoll 👇👇
Inasukwa palepale pembeni ya station ya Mjerumani?