Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nilikuwa sijaiona😆😆😆

20230505_203800.jpg
 
Wakongo wanaweka hela DRC wakifika Dar wanatumia CRDB Tanzania kama kawa
Mambo Yana kwenda kasi sana..

Huku control number.. Kule CRDB iko Congo...

Mara wanajitanua tena na kuingia Zambia na Rwanda... Maana Burundi tayari..

Dah.. Kazi tamu inakuwa chungu...

Kwa Bandari ni uhakika maana no upigaji...

Nani kaelewa?
 
You prove my point exactly…. Dar downtown area proper ni size ya Westlands …. Unapinga???…. And beyond this area ya Dar, majority kwingine ni Uswazi left, right , Front and center..🙂🤣🤣
 
Back
Top Bottom