Did you know that development in Kenya is happening throughout the country!?
Take example. Habaswein in Northern Kenya
View attachment 2611179View attachment 2611180View attachment 2611181View attachment 2611182View attachment 2611183
Jamaa wa kunya kila siku huwa wanajaribu ku ignore mikocheni as if it doesn't exists next to makumbusho .. kila siku wanapiga nduru eti makumbusho imezungukwa na uswazi kushoto kuliaMikocheni Dar es Salaam View attachment 2611280
I words of DJ Khaleed…. Another one!
Gongelea msumari kwa kumwamhia ni concrete hio ili ajue maana wanawaza unga tu 😆😆😆😆
Jamaa wa kunya kila siku huwa wanajaribu ku ignore mikocheni as if it doesn't exists next to makumbusho .. kila siku wanapiga nduru eti makumbusho imezungukwa na uswazi kushoto kulia
Hao jamaa we north wanaona ujanja kinoma kuwa na hizo pavements kando ya barabara ilihali huku Bongo zipo kila mahali .. mji wa serikali pekee wenye barabara km 51 barabara zote ziko na pavements pembeni ..Gongelea msumari kwa kumwamhia ni concrete hio ili ajue maana wanawaza unga tu 😆😆😆😆
Wao wamekariri maendeleo ni nairobi tu ukitoka nje ya nairobi hakuna hata mradi mmoja unaoendelea nje ya nairobi ni ushuzi mtupu ww muulize nje ya nairobi kuna mradi gani unaendelea kama watakujibu 😆😆😆Hao jamaa we north wanaona ujanja kinoma kuwa na hizo pavements kando ya barabara ilihali huku Bongo zipo kila mahali .. mji wa serikali pekee wenye barabara km 51 barabara zote ziko na pavements pembeni ..
Kuna tukio la coronation of UK's KingKweli?, huu ndio udhahifu wa rais wetu, ngoja tuambiwe ameenda kutafuta watalii.
Sisi inatuhusu nini hiyo coronation hata rais wetu apoteze pesa zetu?, huyu mama yupo na tatizo la kupenda kuzurura Sana.Kuna tukio la coronation of UK's King