ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Akili zao hua zinatoka kwenye mrija wa nyaa alaf wanakwambia wamesoma mpaka mwalimu akakimbia darasa 😆😆😆
Akili zao hua zinatoka kwenye mrija wa nyaa alaf wanakwambia wamesoma mpaka mwalimu akakimbia darasa 😆😆😆
Africa nzima watakuja kusoma uongozi hapa Tz mana uhalisia uko hivyo (Tz iko vzr kiuongozi) na chuo kina hadhi ya kimataifa.
Some wanted to compare Nairobi University with some university in Tanzania!!!!!
View attachment 2611750
Some wanted to compare Nairobi University with some university in Tanzania!!!!!
View attachment 2611750
A College of Education in Dodoma
View attachment 2611874
View attachment 2611875
View attachment 2611876
Kondolee slum kisumu hio 😆😆😆😆
Sisi tumejenga barabara kenya nzima
Mtakataa mpaka lini vitu vinavyoonekana kw macho mawili.?That is a place I don’t even know can’t you see it’s even on the news coz it’s hard to find such a place it’s not a normal thing