Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna kipindi mimi nilikuwa nasoma tu bila kuwa na ID ilifika mahala nikawa nikiona vipicha vya Naipori naogopa sana kuwa hawa kundustan wanatuzidi kila kitu kumbe kwa ground mambo ni tofauti hawana hata chochote huwezi amini mwamba tangia 2017 hadi Leo 2023 wakenya nipicha za naipori hawana mradi wowote ule mkwabwa wao wanaandamana kwa ajili ya unga
 
Alafu kuna huu, fahari na kimbilio la East and Central Africa, kama ulaya mwanangu [emoji8][emoji8][emoji1241][emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]View attachment 2610816
Tutaniane lakini tusiwe wanafiki. Mbona utudanganye hali sisi wote jamii ya Afrika Mashariki!?
Wewe mwenyewe unajua Wachina hawakuunda uwanja huu vyema na ushaanza kuumbuka. Playing surface ni mbovo ajabu. Juzi niliacha kama wanatadhmin vile wataukarabati. Halafu unasifia !?
 
Did you know!?
Kenya joined the ranks of USA, UK and Israel by having its own qualified Kenya Marines.
The most lethal force ever
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…