Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani huwezi kutumia jina la kiume ili utudanganye?, mbona Lupita Nyong'o anatumia sura ya baba yake wakati yeye ni mwanamke?
Lupita Nyong'o ndiyo huyu?

lupita-480852.jpg


472
 
IJAPOKUWA HIZO PICHA ZINGINE SIO ZAKE, THE FACT IS AMESHINDA OSCAR AWARD JAMBO AMBALO WASICHANA WOOOTE WATZ COMBINES HAWAWEZI
Hahahaaaa, eti picha sio zake, kweli mmekamatika, yani leo hadi mnakana picha za kisura wa kenya. Sasa kama huyu ndo kisura wa kenya nzima na wanaume wote wa kenya mnatetemeka kwa uzuri wake then i can imagine appearance of the rest of the women population in KUNYA, bwahahahhaa, nyie wanaume wa kunya mnaharibu sana sura binti zenu, lol.
 
Britam ni 140 mnara ni 60m
TPA ni 178m

Af hata macho huna
PSPF Imeanzia kwenye mbinuko TPA usawa wa bahari af bado TPA imeizidi PSPF
24dd521832f4a052c7c5185b47dfd404.jpg

Angalia apo wewe
Itabidi tufanye kazi ya ziada ili waikubalishe akili yao kuwa jirani ZAO waweza kuwa na maendeleo na mambo mazuri zaid yao,
Tatizo ndugu zetu wakenya mind ZAO zilijifunga kwa Nairobi tu in their mind they feel Kenya is everything sasa wanaposikia hapo kwa jirani zenu TZ kuna jambo nzuri akili ZAO hazitaki kukubali,
Hiyo ni mbaya sana inazalisha chuki na hasad ,
Kwataarifa yenu kuna bullet train inakuja very soon hapo sijui mtalia
 
Back
Top Bottom