Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I am giving you 2021 data which clearly shows we are miles ahead of you in value of manufactured goods exported and you are clinging on 2022 data, a difference of 12 months!! Si unaona ulivyo mjinga?

If you couldn't match us in 2021 just when Covid was taking a toll on most economies including ours, what makes you think you could match us in 2022 when most sectors of our economy had recovered from Covid effects? Wewe kilaza wa bongo hakuna siku Tanzania will catch up with Kenya in anything. The earlier you understand this the better. We exported manufactured goods worth $3b in 2021 and I have provided proof. I am not even sure if you exported manufactured goods worth $1b the same year na bado uko na nguvu ya kutoa povu. Useless danyanyikan!
 
Wakati huu uzi unaanza mwaka 2017 ilikuwa shida sn kuwaaminisha watu kwamba Tz ipo juu ya Kenya, tulipata tabu sana mpaka baadhi ya Watz walikuwa hawaamini kabisa, tena tulikuwa tunarumbana humu kweli kweli na Watz wenzetu waliokuwa hawaamini hilo, lkn kwa ss Wakenya ndio hawaamini kama Kenya yao ipo juu ya Tz, wamebaki Wakenya wachache hasa wa humu JF ambao ukweli wanaujua kwamba Tz ipo juu sana sema wanaona aibu kukubali japo tunaona wanakubali kupitia post zao zilizokata tamaa.
 
Tanzania ipo juu ya Kenya kwa lipi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…