babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,906
chomelea Industry.
BTW why wanadhani hii ipo kwao tu? Bongo kuna Dar Coach, Superdoll etc![]()
Dar coach.
Baadhi tu.
chomelea Industry.
BTW why wanadhani hii ipo kwao tu? Bongo kuna Dar Coach, Superdoll etc![]()
Tuoneshe magari walizounganisha na si ile picha moja huwa mnashinda mumezungusha hapa
Kwanza huu mfumo wa fainali mbili ni mfumo uliopitwa na wakati kabisa, sijui kwanini hawa CAF hawabadilishi huu mfumo wa kipuuzi.Ni kwasababu ya draw ilivyopangwa.. for semi final 1 ni Q4 vs Q2
Hata wakishinda semi final, final (2 legs) wataanzia home pia
View attachment 2605566View attachment 2605567
Failed state hiyo Mzee, hakuna nchi hapoHii nchi hapana
Kuna point tunachukua kwa nusu fainali kwanzaYanga ikiingia Final kwa kumfunga Marumo FC, Tanzania itavuna points nyingine 5 hivyo kufikisha total points 56.5 na kuwa juu ya DR Congo na kushika nafasi ya 6 kwenye association rankinng based on CAF Club competitions. Hapo tunakuwa tumetoka nafasi ya 11 hadi ya 6 😇
View attachment 2605575
Hizo 51.5 tayari inainclude Yanga kufika nusu fainaliKuna point tunachukua kwa nusu fainali kwanza
Kilio chako kimesikika mkuuHizo 51.5 tayari inainclude Yanga kufika nusu fainali
wanasemaga nairobi haina barabara za tope ila internet imekataa
Nahisi pindi hio kitu ikifika watakuwa likizo ya mwezi kupisha makali ya watz.Hii kitu ni Kali Sana, sijui wakenya watajificha wapi zikifika bongo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app