Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanashangaa vyuma kutoka bongo 😆😆

Screenshots_2023-05-01-15-33-29.png



 
Jamaa alikuwa mshikaji wangu, nilikutana naye pale NAOT siku za nyuma kdg, cku anaenda Cameroon nilipiga naye story mbili tatu akasema atarudi mwezi wa nne nikaenda counter ya check in nikamuombea seat nzr, alisafiri na ET. Juzi kati nakutana na mdogo wake pale pale airport ananiambia Geoff amefariki ghafla kwamba alipotoka kula akaanguka mlangoni na kufa papo hapo, iliniuma sana, contacts zake na chatting zake nmefuta juzi aisee, mambo mengine tuyaache kama yalivyo yanachanganya sn.
duh aisee inasikitisha sana ila kuna mkono wa mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameambiwa hawana chakula kingine, spaghetti hupewa man of the match as a trophy kwenye tournaments zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiombe 'nshomile' akudharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah wanasaga pumba ili wapate unga wa ugali, hii ni noma sana aisee.
 
Kuna mkenya alisema wao hawana shida ya unemployment hvi alikua nani ajitokeze😆😆




 
Back
Top Bottom