Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Aaaah !"Tatizo mwendazake hakufanya maintenance ya umeme miaka yote mitano aliyokuwepo madarakani"
Aibu kubwa sana kwa taifa yani mm hua nashindwa kuelewa viongozi kazi yao nn au ndio yale yakupeana nyadhifa kwa mtoto wa mjomba na shangazi
wanasemaga nairobi haina barabara za tope ila internet imekataa


.Hujanielewa mkuu..Aaaah !
Tumpumzishe Jpm wawatu.
Alikuwa na mapungufu yake lakini kwa hili hapana.
Kuna watu wengi wakuwajibishwa kabla hujamtaja yeye
😂😂😂😂 nilijua ni kule manguruweni tu mkuu sikujua kumbe ni mpaka CBD 😂😂😂😂😂Unawaamini mkuu na zile estates hadi nguruwe anasanda.
Na hakuna kitu kitafanyikaAibu kubwa sana kwa taifa yani mm hua nashindwa kuelewa viongozi kazi yao nn au ndio yale yakupeana nyadhifa kwa mtoto wa mjomba na shangazi
wanasemaga nairobi haina barabara za tope ila internet imekataa


hapa kama gari manual unatumia gear gani kuchomoka. Jambo gan mkuu? Hii si kitu ya kawaida tuwatu wa office moja mmoja yupo Cameroon mwingine Tanzania wote wanakufa mfululizo how comes? lipo jambo hapa!
View attachment 2605340View attachment 2605341
Obama wa bongo nasikia yupo behind the curtainJambo gan mkuu? Hii si kitu ya kawaida tu
Na yanga wana advantage ya kuanzia ugenini tena 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿Baada ya Pyramid kutolewa, sioni wa kumzuia Yanga kubeba hii kombe la CAFCC. Congrats in advance 😅
Next round
Semi Final 1: Yanga SC vs Marumo FC
Vs
Semi Final 2: Asec Mimosas vs (ASFAR/USM Alger)View attachment 2605435