Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe Mtwara nayo haijakaa kinyonge kama nilivyokuwa nagifikiria
IMG_6540.jpg

IMG_6556.jpg

IMG_6544.jpg

IMG_6562.jpg

IMG_6568.jpg
 
Wakenya, hii kweli ni Kenya au huyu jamaa anatudanganya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tangu nmeanza kuijua Kenya mwaka 2015 nmegundua Kenya haiifikii Tz hata robo, yani haiifikii Tz kabisa huu ndiyo ukweli hata Wakenya wanajua, kilichokuwa kinawapa jeuri ni vile vibarabara viwili vya mduara ambavyo navyo ni jua kali type, na vi estate nzee vyenye bati nyekundu juu, lkn kwa ss tuko juu yao kivyote mpk wanaona uvivu hata ku battle.
 
We jamaa unavyoipenda Dar, unaweza hata kurusha ngumi ukisikia mtu anaipondea hadharani……….😅😅

#DarHardicalBeliver

Unaidai Sana Dar……💪🏾
 
Attachments

  • 18298F17-B54E-4AB5-86A3-D51BD8516CE8.jpeg
    18298F17-B54E-4AB5-86A3-D51BD8516CE8.jpeg
    62.1 KB · Views: 11
  • A700C29F-7329-4D97-9C1E-63D7C6E31494.jpeg
    A700C29F-7329-4D97-9C1E-63D7C6E31494.jpeg
    146.9 KB · Views: 10
  • 184B08A9-35BC-4FCB-B41D-EE266506FB13.jpeg
    184B08A9-35BC-4FCB-B41D-EE266506FB13.jpeg
    142.5 KB · Views: 12
  • 1A24D865-3C61-401A-86FE-1B54864F5D27.jpeg
    1A24D865-3C61-401A-86FE-1B54864F5D27.jpeg
    94.8 KB · Views: 11
  • EB089722-613D-4C38-8164-82B4DCC42200.jpeg
    EB089722-613D-4C38-8164-82B4DCC42200.jpeg
    101.5 KB · Views: 12
Back
Top Bottom