Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

join date : 22/10/2017
number of likes received : 0
followers : 0

edfc06938cd5e292553bdf2eda86896a.jpg

karibu jamiiforum.
Hii zote ni harakati za kuzima moto wa TZ..
 
KIBERA KIBERA KILA SAA...HIYO NI FACT HUKO MNAFUNZANA NA KISWAHILI..NYINYI HAMNA KITU MNAEZA TUAMBIA
Kufunzana ndio kiswahili gani hicho? Kwanini usiandike kufundishana?
Kufuza ni kiswahili cha ovyo. Badilisha neno kufunza andika kufundisha.
Maana mzizi wa neno kufunza ni "funza"
Na mzizi wa neno kufundisha ni "fundisha"

Huyu hapa ni funza
white_grub.jpg

Hapa mwalimu anafundisha sio mwalimu anafunza
HOST.jpg
 
HAYA HEBU TAFSIRI HIYO KWA KIINGEREZA TUONE
 
KIBERA KIBERA KILA SAA...HIYO NI FACT HUKO MNAFUNZANA NA KISWAHILI..NYINYI HAMNA KITU MNAEZA TUAMBIA
Jambo la pili nataka kukutoa tongotongo.
Hizo unazoziita facts umezitoa wapi? Je, unaweza kuzithibitisha?
 
Kufunzana ndio kiswahili gani hicho? Kwanini usiandike kufundishana?
Kufuza ni kiswahili cha ovyo. Badilisha neno kufunza andika kufundisha.
Maana mzizi wa neno kufunza ni "funza"
Na mzizi wa neno kufundisha ni "fundisha"

Huyu hapa ni funza
white_grub.jpg

Hapa mwalimu anafundisha sio mwalimu anafunza
HOST.jpg
 
HAYA HEBU TAFSIRI HIYO KWA KIINGEREZA TUONE
Nitafsiri nini sasa? Halafu kuandika kwa herufi kubwa kubwa ni kuonesha kiwango chako kiko chini sana na huna exposure.
Sentensi ipi unataka nikusaidie kwa kingereza?
 
it feels good to see the number of jobless nyang'aus keeps increasing in this thread.....
 
Sasa mbona unajichanganya tu mwenyewe? Hapa umeongelea kuhusu chemistry kufundishwa darasani. Au ndio kiwango chako chauelewa huo?
Nataka facts kutokana na swala lako la kuhusu flask darasani. Sasa mbona unakimbia kimbia?
Nimesema hizo taarifa unazosema umezipata mitaani kwenu huko kibera.
 
SASA JU MUMEANZA KUELEWA KINGEREZA YA KUOMBA MAJI NDIO MNAJIGAMBA?
Stupid kenyan. Mpaka lini mtaendelea na akili hizi za utumwa? kwa hali hii "Kenya needs new liberation"
 
Back
Top Bottom