THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Pia naona upande wa pili wa Tanzanite Terminus kunahitaji uwekezaji mkubwa wa business complex (Mall kubwa kbs mjini) pamoja na 4 to 5 Hotel na pia kuwe na access ya kuingia na kutoka eneo la station pia upande mwingine kuwe na access ya mji ingia/ toka lile eneo litakuwa moto sana!.Pamoja na adha yote ya ucheleweshwaji wa mradi wa BRT Phase 2, Kwa ile facelift niiyoiona pale Tanzanite, TRC, SGR Station, BRT ilivyo compliment na mradi wa SGR kipande cha kwanza narudisha shilingi yangu kwa SINOHYDRO