Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Longest dual carriageway in the region.

Image
153km of dual carriageway. Yani unadrive Hadi unachoka kwa dual carriageway without branching.
 
[emoji23][emoji23] the fact that you believe statements like these inaonesha vile wewe ni mjinga. Haya tuambia Tanzania mna charging points ngapi kucharge hizo 5000 cars?
Yani tuwe na 40 e-mobility startups na wao 11 alafu wawe na magari mengi kutushinda. Huku Kenya tunavyoongea, matatu saccos kama Super-Metro zimeanza kumove to electric buses, tourists SUVs huko Maasai Mara wameanza electric cars, Nopia taxi pekee walikuwa na over 1500 electric cars in 2021 and over 2000 in 2022 kabla wafunge. Wakifunga hizo gari zote waliuzua Wakenya meaning zote ziko Kenya sahii. Meanwhile hapo Tanzania hata ukimwambia apost electric car moja kwa street ni mtihani alafu wawe nazo nyingi kutushinda Kisa ameisoma kwa tweet.🤣🤣
 
Yani tuwe na 40 e-mobility startups na wao 11 alafu wawe na magari mengi kutushinda. Huku Kenya tunavyoongea, matatu saccos kama Super-Metro zimeanza kumove to electric buses, tourists SUVs huko Maasai Mara wameanza electric cars, Nopia taxi pekee walikuwa na over 1500 electric cars in 2021 and over 2000 in 2022 kabla wafunge. Wakifunga hizo gari zote waliuzua Wakenya meaning zote ziko Kenya sahii. Meanwhile hapo Tanzania hata ukimwambia apost electric car moja kwa street ni mtihani alafu wawe nazo nyingi kutushinda Kisa ameisoma kwa tweet.[emoji1787][emoji1787]
Sasa unalia nini na huo ndio ukweli?, Kwanini usichukulie kwamba wamekosea idadi za startup za Tanzania badala yake unachukulia wamekosea idadi ya magari ya Kenya?. Hii ndiyo Tanzania, ugua pole.
 
Yani tuwe na 40 e-mobility startups na wao 11 alafu wawe na magari mengi kutushinda. Huku Kenya tunavyoongea, matatu saccos kama Super-Metro zimeanza kumove to electric buses, tourists SUVs huko Maasai Mara wameanza electric cars, Nopia taxi pekee walikuwa na over 1500 electric cars in 2021 and over 2000 in 2022 kabla wafunge. Wakifunga hizo gari zote waliuzua Wakenya meaning zote ziko Kenya sahii. Meanwhile hapo Tanzania hata ukimwambia apost electric car moja kwa street ni mtihani alafu wawe nazo nyingi kutushinda Kisa ameisoma kwa tweet.[emoji1787][emoji1787]
Nenda uwaambie wabadilishe waiweke Kenya ila kama huwezi baki na hii [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230419-233037.jpg
 
Kashaenda kuwatia gundu tayar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akifungwa leo kesho asubuhi sn kwenye vyombo vya habari kulalamika vi bilioni mbili alivyowekeza, Simba inaendeshwa kijuakali juakali sn amna Boss pale naye pia ni mnuka mavi tu.
 
Back
Top Bottom