Wakenya wote naomba muangalie hii video muone jinsi Watz tulivyo serious na maendeleo ya kweli ya nchi, nakuonya kama unahisi utaumia usiangalie tafadhali.
Hilo jengo limetokea fitiKlimani
Sana.Hilo jengo limetokea fiti
Wivu ndo unakusumbua wewe. Hio section haipo buzy kamwepamoja na kukopa matrilioni lakini mmezitafuna zote bila kubakisha cent ya kuweka traffic light hapa?
Hii ni laana
View attachment 2595414
Na hapo Phase 2 kuna plan ya kuindeleza mpka Vikindu .Ambapo naona ndo itakuwa vizuri tena ikifanyika mapema maana hio road ina jam hatari ikipigwa 3x3 kamba mbezi itakuwa poa sanaWakenya wote naomba muangalie hii video muone jinsi Watz tulivyo serious na maendeleo ya kweli ya nchi, nakuonya kama unahisi utaumia usiangalie tafadhali.
Sio section ipo busy, formality tu ya barabara haieleweki ni design ya wapi? 😅😅😅 hivi kuna mtu sober kweli huko sababu kila sector ni majanga 🤣 ni qualification gani mnazingatia kumuajiri mtaalam? au kabila lake tu ndio first priority kuliko professionalism? 😂Wivu ndo unakusumbua wewe. Hio section haipo buzy kamwe
ngoja niisake sababu bado kuiona ila kwa budget hiyo itakua ya moto sanaPicha ya Renda kaka tuone itafananaje hiyo monument
So poor in terms of Quality,
Have a look - 1000km Dar -Iringa -mbeya - Tunduma Highway
View attachment 2595828
View attachment 2595829
View attachment 2595830
View attachment 2595831
View attachment 2595832
View attachment 2595833