The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Nimekaa paleee [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]wacha kuropoka! baada ya kuwachinja yanga, wanafuata hao Wydad!
Nimekaa paleee [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]wacha kuropoka! baada ya kuwachinja yanga, wanafuata hao Wydad!
Umempiga na patasi kichwani, akirudi nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unalia nini na huo ndio ukweli?, Kwanini usichukulie kwamba wamekosea idadi za startup za Tanzania badala yake unachukulia wamekosea idadi ya magari ya Kenya?. Hii ndiyo Tanzania, ugua pole.
Kwanza piga ua kama unavyosema watakuwa wamekosea start ups kwa Tz mana gape la idadi ya electric cars baina ya Kenya na Tz ni kubwa sana, 5000 vs 350? Zaidi ya Mbingu na ardhi.Sasa unalia nini na huo ndio ukweli?, Kwanini usichukulie kwamba wamekosea idadi za startup za Tanzania badala yake unachukulia wamekosea idadi ya magari ya Kenya?. Hii ndiyo Tanzania, ugua pole.
😂😂😂😂😂 wachomoe uma waweke kijiko kama inawauma Tanzania kuwa na 5000+ EVsNenda uwaambie wabadilishe waiweke Kenya ila kama huwezi baki na hii [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2595910
Ungemuuliza ni dual carriageway gani in kenya ni 153km akujibu kwanza 🤣🤣🤣🤣 na unitag akikujibu153km with car ndio unaendesha mpk unachoka? Wakenya washamba sn wallahi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Gape ni kubwa sana, 5000 vs 350 na bado anajifariji eti wametuzidi kwenye start ups, bora ingekuwa japo 3000 kwa 2000.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachomoe uma waweke kijiko kama inawauma Tanzania kuwa na 5000+ EVs
ukimaliza kushangaa 5000+ EVs za Tanzania njoo ushangae hizi rough roads mlizodanganywa na sugunyo kwamba ni lami 😂😂😂😂Yani tuwe na 40 e-mobility startups na wao 11 alafu wawe na magari mengi kutushinda. Huku Kenya tunavyoongea, matatu saccos kama Super-Metro zimeanza kumove to electric buses, tourists SUVs huko Maasai Mara wameanza electric cars, Nopia taxi pekee walikuwa na over 1500 electric cars in 2021 and over 2000 in 2022 kabla wafunge. Wakifunga hizo gari zote waliuzua Wakenya meaning zote ziko Kenya sahii. Meanwhile hapo Tanzania hata ukimwambia apost electric car moja kwa street ni mtihani alafu wawe nazo nyingi kutushinda Kisa ameisoma kwa tweet.🤣🤣
Fake numbers kila mahali kunyaland, hizo statistics za start-ups zimetolewa na office yao ya serikali, usije ukaamini statistics zao hata siku 1 hawa ng'ombeGape ni kubwa sana, 5000 vs 350 na bado anajifariji eti wametuzidi kwenye start ups, bora ingekuwa japo 3000 kwa 2000.
Itashika title hiyo Kwa mda ila Longest inakuja ya km 243 Igawa-Mbeya -Tunduma ,ujenzi umeanza.Hii ndio longest dual carriageway in east africa 112km in dodoma 👏👏👏
Yeah Kwa design za barabarani kuu za Tanz,service lane ni Kati ya 1.5-2m spanHata eneo la waenda kwa miguu na baiskeli linatosha gari kupita
Kapendeza sana. But why it seems people are not aware of her presence.. naona watu hawana habari nae au uwepo wake.. 🤔