Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GO PRODUCE THE SECOND AFRCAN AMERICAN PRESIDENT OF THE USA AND MAYBE THEN WE CAN ARGUE
 
UKABILA GANI?USHAHIDI GANI? HAKUNA MTU HAJUI KENYA IS THE TOP MOST COUNTRY IN EAST AFRICA NA SIHITAJI KWENDA MTANDAONI KU DOWNLOAD PICHA KA NYINYI. MNAJUA HIVO NA NDIO MAANA MNAWASHAWASHWA!
Kwanza badili keyboard yako utumie small letters, nimekuambia hii forum ni forum ya watanzania, hatutaki ukaiba, usituletee habari ya Jaluo vs Kikuyu, huku tumestarabika, pili hatutaki matusi, tatu ukisema jambo lako lazima ulete ushahidi, habari za kufikirika na kujipa matumaini yammvuke wa joto hatutaki kusikia,

Tunaomba ushahidi ukiambatana na reliable and credible sources ukionyesha ni maeneo gani Kenya imeizidi Tanzania ukiachana na
1)Rushwa
2)Ukabila
3)Insecurity
4)Poverty
5)Hunger
6)Extrajudicial killings
7)Gape between rich and poor
8)Marathon runners

nje ya hayo nitajie maeneo mengine ambayo Kenya imeizidi Tanzania, ukiwa na ushahidi tafadhali
 
HAKUNA MTU HAJUI KENYA IS THE TOP MOST COUNTRY
the only thing i know that puts kenya at the top is tribalism.

f2f56d7180f3df3b35a4de5d19d20795.jpg
512a17e410a645654a8481b407355336.jpg
 
ZILE VITU WAKENYA HUENDEA TANZANIA NI MADAWA ZA UGANGA
TU...😀😀😀😀..JU HIO SEKTA MUMEIVA..MAENDELEO MTUACHIE, SISI NDIO WENYEWE
Kama mnakuja kutuletea pesa sawa tu.. maana inaonekana hii huduma inahitajika sana huko kwenu.. na sisi kama wafanyabiashara wazuri tunaitoa.
 
Kwanza badili keyboard yako utumie small letters, nimekuambia hii forum ni forum ya watanzania, hatutaki ukaiba, usituletee habari ya Jaluo vs Kikuyu, huku tumestarabika, pili hatutaki matusi, tatu ukisema jambo lako lazima ulete ushahidi, habari za kufikirika na kujipa matumaini yammvuke wa joto hatutaki kusikia,

Tunaomba ushahidi ukiambatana na reliable and credible sources ukionyesha ni maeneo gani Kenya imeizidi Tanzania ukiachana na
1)Rushwa
2)Ukabila
3)Insecurity
4)Poverty
5)Hunger
6)Extrajudicial killings
7)Gape between rich and poor
8)Marathon runners

nje ya hayo nitajie maeneo mengine ambayo Kenya imeizidi Tanzania, ukiwa na ushahidi tafadhali
ZILE SHIDA KENYA INAPITIA SAA HII MTAPITIA MIAKA ISHIRINI IJAYO.USIKUWE NA HARAKA
 
ZILE SHIDA KENYA INAPITIA SAA HII MTAPITIA MIAKA ISHIRINI IJAYO.USIKUWE NA HARAKA
Nimekuomba ubadili keyboard yako, pili jibu swali nililokuuliza, huku sio sawa na forum za Kenya, kama umezoea kuzungumza au kuchangia hovyo hovyo rudi hukohuko kwenu, huku ni lazima ujifunze ustaarabu wa mazungumzo, umeulizwa swali unapaswa ujibu swali, sio unarusha maneno kama kichaa
 
IKIWA SASA NDIO MNAFIKIRIA MAMBO YA MIJI WAKATI SISI TUNAJIPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, MTAWAHI TUPATA WAPI?
 
KIBERA KIBERA KILA SAA...HIYO NI FACT HUKO MNAFUNZANA NA KISWAHILI..NYINYI HAMNA KITU MNAEZA TUAMBIA
Unadhani tatizo liko wapi kujifunza kwa Lugha Pendwa, Lugha ya Kibantu No.1 Africa, Lugha ya Kiswahili?
 
IKIWA SASA NDIO MNAFIKIRIA MAMBO YA MIJI WAKATI SISI TUNAJIPANGA KUWA A FIRST WORLD COUNTRY, MTAWAHI TUPATA WAPI?
Aisee huku hakukufai, akili yako ni ndogo sana, lakini nitakufundisha baadhi ya mambo tunayoangalia ili kujua hiyo nchi inamaendeleo kiasi gani na ubora wa maisha ukoje katika nchi husika
1) Uwezo wa wananchi kukidhi/kupata mahitaji ya msingi- hili linapimwa kwa kutumia kiwango cha wananchi wanaoshinwa kufikia uwezo huo(Population below poverty line, by 2016 Kenya 43%; Tanzania 28%)
 
Back
Top Bottom