Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakizungumzia mafuriko Nairobi, unaweza dhania wanaishi dunia nyingine
 
Ngoja nikutafutie receipts ili ujione ulivyo Dwanzi kweli kweli 🤣 . Una uhakika hakuna mtu aliyesema estates zenu zote zina lami? Kwenye maandamano tumeona hali halisi kila kona nchini mwenu. Lakini mkiongea humu utafikiri watu wa BEVERLY HILLS.
 
Zilete
 
We boya Nairobi si dar, karibia kila estate na suburbs zina lami si vumbi kama huko kwenu. Lami kwenye estates zilianza kuwekwa kitambo na bado zinaendelea kuwekwa
NDINDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…