Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Ni balaa tupu mkuu,Upigaj kila kona
Ni balaa tupu mkuu,Upigaj kila kona
Kaskie vibaya huko kwenuHuu ni utamaduni wa kimasikini.........................bring decent mode of transport
KhiiiiWachina wa jf mpo? Tayari mumeufyata huko ,mbwe mbwe as usual [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio kwanza America ameingiza meli ya makuzuia makombola kwenye bahari ya China huku Wachina wakiishia kulaaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Russia pekee ndio anaweza kukoroma Kwa America,nyie wengine endeleeni kukua kwanza.
Leo umeweka hiyo Amphitheatre bila filter [emoji16]Jomo Kenyatta International Airport (JKIA)
Busiest and largest airport in EAC and Central Africa
![]()
![]()
No filter 👏👏👏
suala la ATCL kufeli kuna factors nyingi! Kuna ndege zimekamatwa Amsterdam kwa sababu Magufuli alivunja kimabavu mkataba wa kampuni ya Sweden ya biofuel Bagamoyo, jamaa wanataka fidia!
Ndio hapo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila kumtaja Magufuli kuan baadhi ya viumbe hawasikii raha or siku haija timia, eti ndege zimekamatwa[emoji23][emoji23] nchi ilikua na ndege hii??[emoji23]
Achana na hizo habari. Mtu akileta hizo hoja potezeen. Pasaka njema kwenu nyote!Sasa bila huyo magufuli ungetaja hata hizo ndege ? unazeeka vibaya sasa.