Mkuu, umefika pangani kuona jinsi palivyo na potential?, Wacha kabisa mkuu asikuambie mtu, Kama uko na pesa haraka Sana kimbia ukanunue Ardhi pangani.Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini
Cholera inside the capital city, this can only happen in failed stateCholera cholera mwaka 2023 serious??
I certainly don't agree with your assertion on this. Unless you are joking or it's just a belief emanating from the street hearsay.Mbongo wa Kawaida ukiangalia Passport yake imejaa stamp za South Kuliko eneo lolote. Angalia na wasanii wetu wanashinda kule![]()
Hapo hujajibu hoja yake. Kujibu hoja yake, ni kuleta inayoonyesha nchi zipi (na idadi zake) watanzania wanapenda kusafiri wakienda njeI certainly don't agree with your assertion on this. Unless you are joking or it's just a belief emanating from the street hearsay.
Facts:
intergate-immigration.com
View attachment 2578684
www.statssa.gov.za
View attachment 2578687
www.statista.com
View attachment 2578693
Hapo hujajibu hoja yake. Kujibu hoja yake, ni kuleta inayoonyesha nchi zipi (na idadi zake) watanzania wanapenda kusafiri wakienda nje
Pangani ni mji wa utalii kuna nice beaches na saadani park kwa tourism pia ni between Tanga and Dar/Bagamoyo hivyo ni very strategic area.Lakini Kwanini wameiweka Pangani, sio kwa ubaya ila return of investment yao haitakuaa kubwa , kama wangeweka mji yenye mzinguko mkubwa. Mwanza , Arusha au Dar au hata Tanga mjini