Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili dafu linaendelea kuporomoka tu kutoka rate ya 24.
Hoja zao kati ya zile 3 zilizobaki ni English na GDP. Currently and soon, bado GDP inaendelea na itaendelea kuwaumbua. Kenya now ni level ya Zimbabwe
View attachment 2577278
GDP was 107bn dollars kabla dafu halijashuka now if you compute GDP with this rate of KES depreciation utakuta GDP now inasoma 85bn dollars
 
Hii battle inanifurahisha sana cause haitakuja kuisha. Pia kuna mengi ya kujifunza hapa
Acha battle iendelee
Screenshot_20230405-125613~2.jpg
 
ni kwanini SA wanaadvertise sana tourism yao Tanzania kuanzia kwenye traditional media kama radio, TVs, newspapers mpaka online media kwa nguvu kubwa sana?

inaonesha Tanzania ni bonge la potential market kwa SA tourism!
View attachment 2577445View attachment 2577446

Mbongo wa Kawaida ukiangalia Passport yake imejaa stamp za South Kuliko eneo lolote. Angalia na wasanii wetu wanashinda kule
 
Baadae ukiwaambia wanajenga miradi white elephant wanakasirika 👇👇👇

Screenshots_2023-04-05-18-51-09.png
 
Back
Top Bottom