Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Electric esigiara ndio inaleta… you were just bragging the other day about Tz being a “pioneer” of EV’s in EA when we are yet to see a single EV
Kwann unajibu kwa hasira sana 🤣🤣🤣 kwani ushahidi nilikupa hukuuwona au??
 
Wewe hueleweki, heri unyamaze
Embu elezea wewe sasa hizo necessary infrastructures ni nini na kama hazina gharama ili na sisi tusiojua tuongeze uelewa kidogo remember JF ni kama darasa au sio?
 

Screenshots_2023-04-05-13-05-39.png
 
🤣🤣🤣🤣🤣 anaenda kujenga interchange ahero wakat mahitaji yake ni 50yrs to come

 
Handling 19 transshipment ship kwa miaka 2 hvi ww unaakili timamu 🤣 hebu tuambie imekusanya bei gani for those 2 yrs totaly nothing 😆😆😆


Kwa hesabu za kijijini ina maana kuna miezi 5 ilikaa bure bila ya kupokea meli yoyote.tunawasamehe kwa maana mlitaka kupambana na bagamoyo sasa pambaneni na Tanga 😆😄🤣
 
Back
Top Bottom