Kwanza usituchefue na vote hizi juzi mlichotufanyia sio poa kabisa hamna uzalendo nyie.Nicxie Teargas NairobiWalker etc
Dear kenyans vote for mudathir yahya from yanga
View attachment 2576477
Kwanza usituchefue na vote hizi juzi mlichotufanyia sio poa kabisa hamna uzalendo nyie.Nicxie Teargas NairobiWalker etc
Dear kenyans vote for mudathir yahya from yanga
View attachment 2576477
Kufanya nn tena mdau 😆😆😆😆Kwanza usituchefue na vote hizi juzi mlichotufanyia sio poa kabisa hamna uzalendo nyie.
Hizo necessary infrastructure ni bure hazitumii tax payers money?Unaongea kwa hisia nyingi sana and saying nothing. Aliyekuambia projects zetu are not demand-driven ni nani? Ama hapo ndio kujifariji imekufikisha? Unataka kutuaminisha kwamba Mwanza, your second largest city haina demand ya kuwa na interchanges to ensure free flow of traffic? Wewe ni kiazi kabisa
Ninyi hamkosangi vijisababu vya kijinga kutetea maendeleo yenu finyu huku mkikerwa na maendeleo ya watu wengine.
Railway city inayotaja, for instance, is not even funded by the government 100%. The government is simply providing land and necessary infrastructure for private investors willing to invest in the project, just like Tatu City. But look at what you've said above!!
Ninyi ni watu wa kuhurumiwa tu, nothing else
Hata huku kwetu linaitwa jina hilohiloYani hadi unajua mashirika kama HELB..
Juzi Yanga walipiga kura za maruhani kupunguza kura za chama kuwa best player wa CAF back to back wakahamasishana kumpigia mchezaji wa Al Ahyl. It was such a shame.Kufanya nn tena mdau![]()
Unanipangia?Jipe shugli si lazma ucomment kwa kila kitu
The owner of Ol Pejeta ranch imported two last year.Not even East Africa, hakuna any other country in Africa ikona Rivian. Rivians are only sold in US and recently in Canada. Hata Europe bado hazijafika. That Safari Van might be the first Rivian RHD vehicle.
Watanzania ni wafuatiliaji wa mambo sio wazembe kama Wakenya, wanajua kuhusu nchi yao na wanajua kuhusu nchi jirani no wonder ni ngumu sana kuanzisha ugomvi na Tz na ushinde.Yani hadi unajua mashirika kama HELB..

Mtusamehe bure ila tunaomba kura zenu kwa kijana mtanzaniaKwanza usituchefue na vote hizi juzi mlichotufanyia sio poa kabisa hamna uzalendo nyie.

Mnaboa sn.Jipe shugli si lazma ucomment kwa kila kitu
Electric esigiara ndio inaleta… you were just bragging the other day about Tz being a “pioneer” of EV’s in EA when we are yet to see a single EVSo tuseme rivian ndio inaleta ugali juu meza au ???? 😆😆😆😆😆
Nawe mbona unampangia cha kupost?Unanipangia?
Wewe hueleweki, heri unyamazeHizo necessary infrastructure ni bure hazitumii tax payers money?