Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
it might be rubbish to you coz you don't understand the Queen's Language and Sheng'That ktalk is Rubbish.
it might be rubbish to you coz you don't understand the Queen's Language and Sheng'That ktalk is Rubbish.
Nutaelewaje Lugha ambayo ni Mali ya Malkia? Na Mimi ni mswahili mkuu. Mswahili na Malkia wapi na wapi?it might be rubbish to you coz you don't understand the Queen's Language and Sheng'
maybeIs it a reason for your Tribal killings and endless demonstrations and chaos each single day?
ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
- ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
"he's very uncooperative and aggressive"
synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More
Is it a reason for your Tribal killings and endless demonstrations and chaos each single day?

Nutaelewaje Lugha ambayo ni Mali ya Malkia? Na Mimi ni mswahili mkuu. Mswahili na Malkia wapi na wapi?
Halafu nashangaa wakenya kuitukuza, kuiabudu, kujivunia na Kufurahia Lugha ya Malkia ikiwa nyie ni Weusi kama Lami.

wakenya wa JamiiForums.com ,nairaland na skyscrapercity wanawezana na Geza Ulole....geza huwa anaenda nao toe to toe mpaka mwisho bila kujari matusi na vitisho vyenu.![]()
binafsi huwa nawamudu sana wakenya wa twitter... huwa nawatoa jasho sana kule....![]()
Lakini wakenya wa Nairaland ni wakali zaidi akiwemo Nairobiwalkerwakenya wa JamiiForums.com ,nairaland na skyscrapercity wanawezana na Geza Ulole....geza huwa anaenda nao toe to toe mpaka mwisho bila kujari matusi na vitisho vyenu.![]()
binafsi huwa nawamudu sana wakenya wa twitter... huwa nawatoa jasho sana kule....![]()
kama tafsiri za "aggressive" ndio hizo,sidhani kujiita "aggressive" ni sifa nzuri kwa kenya maana jamii ya watu ambao ni "hostile" mara nyingi huwa na tabia za ki-primitive,tabia za ki-stone age.
kama huamini,fatilia tabia za wamasai(nazungumzia wale wamasai wanaoishi maporini na mbugani sio wale wa mijini) au fatilia documentary zinazozungumia uncontacted tribes katika msitu wa amazoni huko amerika ya kusini.
moja wapo ya documentary ni hii hapa.![]()
![]()
mnatuogopesha sisiNiforums yakipuuzi
Ubinafsi na hawapendi kupingwa hata sikumoja
sio kama Humu jf kila mkenya yupo huru kuchangia
Mie toka mwezi wa 5 Sijaingia kule
nawala sina mpango na kiforums uchwara
Nimeishia kucheka tuNutaelewaje Lugha ambayo ni Mali ya Malkia? Na Mimi ni mswahili mkuu. Mswahili na Malkia wapi na wapi?
Halafu nashangaa wakenya kuitukuza, kuiabudu, kujivunia na Kufurahia Lugha ya Malkia ikiwa nyie ni Weusi kama Lami.
vipi mrembo😀😀 I see you have touched down at JFNimeishia kucheka tu
weusi kama Lami! Nyie watu nyie
Hahaha eti terrible education system kisa neno aggressive Hahaha basi wa Japan, China Russia, France etc wangekuwa wangekua ni zumbukuku kabisa kisa tu Kenya wanaongea English Hahaha nyie badala ya Ubongo mna kamasi kichwani you are too low and primitiveunajiaibisha ndugu..
aggressive maana yake ni straightforward sana...ni mtu asiyekubali kushindwa..![]()
View attachment 614434
Agrressive ya mnyama na aggressive ya ninadamu ni tofauti kabisa...mfano tunaweza sema ukimchokoza simba anakuwa aggressive...tukija kwa binadamu aggressive ina maana mtu ambaye hapendi kuambiwa chochote.lazma ashinde arguments....mtu mwenye kichwa kigumu na mchokozi...
we normally tell you to stick to Kiswahili hamsikii....haya outcome yake ndio hii ...aibu...![]()
![]()
In business there is aggressive marketing....now tell me if mtu mwenye akili zake timamu anaweza ku husisha marketing na pangas and rungus and primitive people fighting??![]()
!!![]()
Aggressive Market. A market or exchange with a high trading volume. When a market becomes very aggressive, the price of stocks can go up significantly, which in turn makes it more expensive for a trader to become involved in the market by buying stocks.
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁On a serious note, its very sad that you guys have a terrible education system...
ndio maana unaona Mtanzania akiskia aggressive anafikiri mambo haya![]()
![]()
![]()
![]()
Fara sana huyo mbwigaKingereza ni ya Mwingereza ndugu, hakuna Kingereza cha Mtanzania. Usiwe Boya hivyo
So what's the problem with that, what does that maketh you think about us.but my message has been understood...nikama tu kusema kile kiswahili sanifu si cha mkenya...kuna tofauti kubwa kati ya Kiingereza kinachozungumza na Mtz na kile kinachozungumzwa na waafrika wengine haswa Nigeria, Ghana, Uganda, SA, Kenya...tanzanians speak the worst broken English i have ever heard...
najiaibisha kivipi "msee"?...kwani tafsiri ya neno aggressive hapa chini iliandikwa na nani kama si wewe mwenyewe?.unajiaibisha ndugu.
nimebaini kwamba ulipogundua ni namna gani tafsiri ya neno aggressive uliyotuletea awali ilivyotumika kuwatafsiri vibaya wakenya,ukaamua kwenda kutuletea tafsiri nyingine toka kwenye search bar ya google search..smh....wakenya mpo "hostile" sana.ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
- ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
"he's very uncooperative and aggressive"
synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More

comrade,Hahaha eti terrible education system kisa neno aggressive Hahaha basi wa Japan, China Russia, France etc wangekuwa wangekua ni zumbukuku kabisa kisa tu Kenya wanaongea English Hahaha nyie badala ya Ubongo mna kamasi kichwani you are too low and primitive