but my message has been understood...nikama tu kusema kile kiswahili sanifu si cha mkenya...kuna tofauti kubwa kati ya Kiingereza kinachozungumza na Mtz na kile kinachozungumzwa na waafrika wengine haswa Nigeria, Ghana, Uganda, SA, Kenya...tanzanians speak the worst broken English i have ever heard...Kingereza ni ya Mwingereza ndugu, hakuna Kingereza cha Mtanzania. Usiwe Boya hivyo
Poa, habari. .vipi?
salamaPoa, habari. .
she lived and schooled in Kenya
we are proud of her beauty and success in the music industry regardless of her education background...after all,nothing can change her tanzanian nationality.no wonder...hio kiingereza niliskia akiongea si ya mtanzania
Lugha ya kingereza wakenya mnataka kutuambia ni yenu au sijaelewa apo![]()
..nikama tu kusema kile kiswahili sanifu si cha mkenya...kuna tofauti kubwa kati ya Kiingereza kinachozungumza na Mtz na kile kinachozungumzwa na waafrika wengine haswa Nigeria, Ghana, Uganda, SA, Kenya...tanzanians speak the worst broken English i have ever heard...
sawa notedwe are proud of her beauty and success in the music industry regardless of her education background...after all,nothing can change her tanzanian nationality.
in today's world of frequent movement of people from one country to another,it's not a big deal to study in a foreign country.
even lupita nyong'o was not born/schooled in kenya.she was born in mexico and schooled in US....you won't find any mexican or american feeling proud for it.
![]()
Nani huongea kingereza safi bila kuumana maneno kwa nchi za africa nipe list yako....but my message has been understood...nikama tu kusema kile kiswahili sanifu si cha mkenya...kuna tofauti kubwa kati ya Kiingereza kinachozungumza na Mtz na kile kinachozungumzwa na waafrika wengine haswa Nigeria, Ghana, Uganda, SA, Kenya...tanzanians speak the worst broken English i have ever heard...
Ameishi arusha na high school kamalizia Arusha. kenya kaenda miaka michache tu chuo. Na kama ni kiingereza mtu hauwezi ukawa haujui kiingereza miaka yako yote uje ukijulie chuoni.she lived and schooled in Kenya
but my message has been understood...nikama tu kusema kile kiswahili sanifu si cha mkenya...kuna tofauti kubwa kati ya Kiingereza kinachozungumza na Mtz na kile kinachozungumzwa na waafrika wengine haswa Nigeria, Ghana, Uganda, SA, Kenya...tanzanians speak the worst broken English i have ever heard...

BTW, wanawake wengine wa Kenya wana nyuso ngumu, na wa tanzania wana nyuso nzuri...je, hii imewatoa aje katika hali ya umaskini na u LDC...ndugu, si kila kitu kinachofanywa duniani lazma kiwe cha kuleta mafanikio kwenye society ama nchi...hilo jambo la luzungumza kiingereza kizuri huwezi uka kihusisha na economic prosperity ya nchi...tunasema tu ni vizuri kujua lugha ya dunia sababu Kiingereza ndio lugha ya dunia kwa sasa...kuna wachina wameanza kujifunza haswa kwa sababu ya biashara...sawa sisi tunazungumza broken english..je "unbroken english" mnayozungumza wakenya,imewasaidiaje kuwakwamua kielimu na kiuchumi.
BTW.
hata wachina wanazungumza kingereza broken sana...lakini ndio hao hao walijenga super highway na sgr nchini kenya....hapa tz karibia miradi yote mikubwa inafanywa na wao.
![]()
![]()
tatizo la wakenya hawajiongezi katika kutafuta taarifa za tz...wameegemea katika mazoea na mentality ya early 90s kuhusu tz.Ameishi arusha na high school kamalizia Arusha. kenya kaenda miaka michache tu chuo. Na kama ni kiingereza mtu hauwezi ukawa haujui kiingereza miaka yako yote uje ukijulie chuoni.
inategemea....kuna vigezo vingi kama vile accent ama lafudhi...wa nigria wana accent yao na wakenya pia wana zao...ila tukija kwa kuzungumza Kiingreza kizuri nina uhakika wakenya wamewashinda watanzania kwa mbali...sisemi kwamba kuzungumza kiingereza kizuri ndio kipimo cha ufanisi ama werevu...nasema tu hapo tumewashinda...Nani huongea kingereza safi bila kuumana maneno kwa nchi za africa nipe list yako....
Ndio tatizo lao. Wenyewe wanajua kwamba elimu ya Tanzania ni ya enzi zile. Shule za private karibia zote watoto wanafundishwa kiingereza na asilima kubwa ya watu waliosoma wanaongea kiingereza kizuri tu. Lakini wenyewe wakiona watu wachache kama Diamond wanafikiri watanzania wote wapo hivyo.tatizo la wakenya hawajiongezi katika kutafuta taarifa za tz...wame-relay katika mazoea na mentality ya early 90s kuhusu tz.
hawajui kuwa ilipofia mwishoni mwa miaka ya 90 au mwanzoni ya miaka ya 2000,serikali ya tz iliruhusu watu binafsi kuanza kumiliki shule zao na kuruhusu ufundishaji kwa lugha ya kingereza kuanzia Ngazi ya kindergarten, primary na secondary school.
watoto wa baadhi ya watz waliopitia mfumo huo wa elimu,wanazungumxa kingereza safi bila shida.hata venessa mdee,alipitia mfumo huo hapa tz.
kingereza hakukijulia kenya...kwenye radio interview moja aliwahi kusema marehemu baba yao alikuwa anafanya kazi katika ofisi za ubalozi wa tz katika nchi mbalimbali,hivyo wameishi na kusafiri nchi mbalimbali duniani.na huko ndiko alikojifunzia kingereza.
upuuzi ni wakati mtanzania analeta hoja eti wakenya wana nyuso mbaya na watanzania wana nyuso nzuri....we huoni hapo ni ujinga...nyuso nzuri zimewasaidia watz kivipi??...hapo ndio mdahalo ulianza mpaka ukafikia kwa huyo dada Vanessa Mdee..Asisee sasa mmehamia huko. Naona ndugu zetu wakenye mmeishiwa point sasa. Yaani sisi watu wazima tuanze kutafuta nani alisoma na kuishi kenya!? Eti kingereza cha kenya. Huu sasa ni upuuzi kiwango cha sgr.
Nikweli sisi tunazungumza kiswahili sana...kingereza darasani tu hata discussion zetu hua tunafanya kwa kiswahili!! Lakini wenye bidii huzungumza vizuri tu wale wazembe inakua tabu sana..lakini masomo yetu kuanzia shule ya upili ni kingereza hadi elimu ya juu...inatufanya tunaonekana hatujui ni kwasababu ya mazingira lakini sio tabu sana walau tunaweza kuandika na kuongea kidogo tu kutokana na kutokukitumia kabisa mtaani hadi maofisiniinategemea....kuna vigezo vingi kama vile accent ama lafudhi...wa nigria wana accent yao na wakenya pia wana zao...ila tukija kwa kuzungumza Kiingreza kizuri nina uhakika wakenya wamewashinda watanzania kwa mbali...sisemi kwamba kuzungumza kiingereza kizuri ndio kipimo cha ufanisi ama werevu...nasema tu hapo tumewashinda...