Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

JamiiForums.com bado sana...mimi niliboeka pindi tu nilipojiunga..afadhali JF ama zingine...the biggest problem ni ukabila...kule nilipata kuna watu flani wanazungumza kilugha...i was so disgusted...i felt like vomiting...
 
b4 uende na Kiswahili mob huko,, uliza MOTOCHINI kuhusu experience yake K'Talk

tatizo la wakenya mnakuwa too emotional kwenye forums zenu...iwe wenyewe kwa wenyewe au kwa watz.

mpo tofauti sana na sisi watz....sisi huwa tunajua sana kutuliza vurugu kwenye mitandao pale hali inapokuwa mbaya...mara nyingi tunatumia humor kutuliza hasira....wakenya mnatishiana sana maisha pia kutukanana kwenye forums pia Twitter....why?.
 
tatizo la wakenya mnakuwa too emotional kwenye forums zenu...iwe wenyewe kwa wenyewe au kwa watz.

mpo tofauti sana na sisi watz....sisi huwa tunajua sana kutuliza vurugu kwenye mitandao pale hali inapokuwa mbaya...mara nyingi tunatumia humor kutuliza hasira....wakenya mnatishiana sana maisha pia kutukanana kwenye forums na twittee.why?.
kenyans are aggressive...thats why they are ready to start a Twitter war with anyone
 
JamiiForums.com bado sana...mimi niliboeka pindi tu nilipojiunga..afadhali JF ama zingine...the biggest problem ni ukabila...kule nilipata kuna watu flani wanazungumza kilugha...i was so disgusted...i felt like vomiting...
hilo hata mimi nimeliona kule JamiiForums.com...ndio sababu iliyonifanya nichague kuwa msomaji kuliko mchangia mada.hatari sana.
 
kenyans are aggressive...thats why they are ready to start a Twitter war with anyone
wakenya wa JamiiForums.com ,nairaland na skyscrapercity wanawezana na Geza Ulole....geza huwa anaenda nao toe to toe mpaka mwisho bila kujari matusi na vitisho vyenu.

binafsi huwa nawamudu sana wakenya wa twitter... huwa nawatoa jasho sana kule....
 
Mashada ndio ilikuwa kitu kubwa East Africa.... huko kulikuwa kunawaka moto 24/7! after serikali kui ban, watu walihama na wengi wao wako Twitter
inasemekana kwamba mashada ili play part kubwa sana katika kusambaza chuki za kikabila miongoni mwa wakenya.

pia vurugu za kisiasa za 2017/8 kwa namna fulani,zilichangiwa na mashada...hiyo ni sababu iliyopelekea serikali ya kenya ika shutdown mashada.
e4edaa4b7c962e749b43c7ee53722f24.jpg
 
watanzania wajoin kilimani mums and dads uncensored kwa facebook waone vituko vya wakenya. ....hahaha
 
Leo tunaongea lugha moja mbona hapanogi...tupieni picha za westlando hapa turudi kazini...haiwezekani tunajisahau namna hii...kadoda take ur position and post something ...we usually chat this battle has no end...until mtu akimbie apa
 
kesho asubuhi after church nitaliamsha dude....

acha leo tujadili vitu laini vya kupumzisha brain...zile mada ngumu zinaumiza sana kichwa... inabidi upige ma round google,twitter, facebook,instagram na blogs za kenya kutafuta vitu vya kuambatanisha.
 
What is the meaning of this aggressive nimekutana na msamiati kama huu Mara nyingi wakenya wakijiita,
Does it mean Matusi, Vitisho, Ubaguzi na Ukabila? I don't understand..
ag·gres·sive
əˈɡresiv/
adjective
  1. ready or likely to attack or confront; characterized by or resulting from aggression.
    "he's very uncooperative and aggressive"
    synonyms: hostile, belligerent, bellicose, antagonistic, truculent; More
 
Is it a reason for your Tribal killings and endless demonstrations and chaos each single day?
 
Huwezi Kuwa mfuatiliaji wa Forums ukaizungumzia Kenya talk
hio ni Hovyo hovyo
Wala haivutii hata kidogo

Post ya mwezi ina views 2000
kwani ulienda huko kujadiliana au kuhesabu views?? we kubali ile vumbi uliyotolewa nayo huko haijawai kukuacha salama.
 
kwani ulienda huko kujadiliana au kuhesabu views?? we kubali ile vumbi uliyotolewa nayo huko haijawai kukuacha salama.
Vumbi gani!
Hivi unaweza jutia Kukosa Kenya talk kweli!!
Ukabila, kutwa na Uhuruto Jaluo
NASA,Kikuyu, Yaani hakuna ushawishi wa Wageni kuipenda forums
Ajabu wenyewe tu mnaikimbia
utawakuta Wakenya kwenye Forums ya kisomali kutwa online kwao no!!
 
lol... sasa wewe hata sio jaluo au kikuyu ulikua waenda kufanya nini kwa sub forum za siasa??? siku nyengine uache kuingizaingiza pua kwa mambo yasiyokuhusu.
hata mimi hukerwa sana ninapoona watanzania wakijadili siasa za Kenya ilhali hawalipi tax na hawana kura. ni kuropoka tu mambo wasioyaelewa.
wakati mwingine, jikite kwenye mada unazoweza kuchambua
 
Back
Top Bottom