Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
usikasirike..😀😀😀..kulia lia haitosaidia education system ya kishamba....Hahaha eti terrible education system kisa neno aggressive Hahaha basi wa Japan, China Russia, France etc wangekuwa wangekua ni zumbukuku kabisa kisa tu Kenya wanaongea English Hahaha nyie badala ya Ubongo mna kamasi kichwani you are too low and primitive