Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa huwa na majibu ya ki genius sana, wewe sasa nakutunuku nishani ya GT.
 
Ndiyo maana joto la jiwe akakuambia usijibu kwa ushabiki Boss, punguza hasira kwanza alafu chill zen tuendelee, sasa Tz inawezaje kuongoza kwa umaskini ukanda huu wakati kuna Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi mpaka Sudan. Achilia mbali hilo bado hapo hapo ni nchi mnayokuja kuomba misaada mingi tu ikiwamo chakula cha bei rahisi, mnapata matibabu na mmefika mbali mnaomba mpk reserve ya dollar, hivi wewe inakuingia akilini hiyo mkuu kwamba hiyo nchi inaweza kuwa maskini kuliko hizo nilizozitaja hapo juu? Niwie radhi mkuu kwa kuingilia kati [emoji120]
 
Atakujibu akiwa amelewa 🤣🤣🤣
 
Nimecheka sana, we jamaa sijui unawazaga nn, naamini hata Nicxie kacheka [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Joto la jiwe made my day [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu huyo joto la jiwe amekuzidi kimo achana naye Boss utaumia moyo wako bure, we tembea na kina sisi utugalagaze basi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…