Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
🤣🤣🤣 Ukikubali ukweli wala hutokufa, tunajua kila kitu hadi kufikia kuandamana nyie wapumbavu wa hii region, mtu mmoja kule Twitter alipost ku expose ujinga wa wakenya wengi wazembe mnaoamini kwenye kupewa pesa na serikali badala ya kilimo 👇Nikisema kwamba nyinyi hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Kenyans are protesting against high cost of living. Wewe upo Tandale mimi nipo Kenya alafu sasa unajifanya unajua zaidi kuniliko mimi mkenya!
That's the relationship between the two. Does not mean one defines the other.🤣🤣 We ni mpumbavu tu mmoja kumbe .. hata democracy enyewe umesoma mpumbavu wewe.? 🤣🤣 kama kuna human rights violation we jua tu hapo hakuna democracy young bro.. pitia hii 👇 nimekusaidia View attachment 2561802View attachment 2561803we jamaa pumzika kwanza. Unatoa maboko tu 🤣🤣
Today you have confirmed that you are the most uneducated person on JFKnow the difference between human rights violations and democracy. These are two different things
That uneducated man knows the definition of democracy, unlike you who relates it with human rights violationToday you have confirmed that you are the most uneducated person on JF
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hicho ni kiswahili sanifu, mbona unacheka, ndio mara ya kwanza kulisikia hilo neno?pirika pirika [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuathirika na lugha ya mama si kiswahili sanifu bongolalaHicho ni kiswahili sanifu, mbona unacheka, ndio mara ya kwanza kulisikia hilo neno?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
CBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watakumbia hili eneo la linear development lenye maghorofa matano kando ya barabara na uswazi bembezoni ni cbd pia 😂😂😂😂View attachment 2542287
Sasa kama unasiku tatu hujala na hujui utakula lini kwanini usiandame na upigwe mpaka kufa maana hata usipouawa na police utauawa na njaaViumbe waoga. Can't question anything
Lakini tunaweza afford tofauti na nyinyi vimepanda na hamuezi affordHata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
Basi sisi pia tuite hili eneo la South B/South C cbd 😂😂CBD ya ghorofa tano kando ya barabara. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣 Nicxie, hujui kila kitu kumbe .. hicho ni Kiswahili sanifu mzee sina athari yoyote inayotokana na lugha mama.. nilikwambia pumzika kwanza unatoa sana bokoKuathirika na lugha ya mama si kiswahili sanifu bongolala
🤣🤣 Kumbe we jamaa ni kichwa hamna, hujui kila kitu 🤣🤣🤣. Heb tuambie unajua nini Ili tujibizane na wewe upande huo..That's the relationship between the two. Does not mean one defines the other.
Democracy simply means power of the people. It is a form of government in which power is vested on the people, not a few individuals, and exercised by them or people they've put in office. Si lazima ulete ushindani kwenye kila jambo
Tanzania vinajengwa viwanda vitano vyenye uwezo wa kuzalisha sukari 400k tons both domestic and industrial sugar na huoni Watanzania wakiongea, sasa ninyi 10k tu?View attachment 2561754
View attachment 2561755
View attachment 2561756
So there was this sugar company capable of producing 10,000 tones of sugar almost complete and nobody even knows hehe we do our stuff with stealth, online we complain but kwa ground things are happening
mara 10 ya hicho by production capacity kinajengwa na hujawahi kukisikia, sasa kisikie!Hii ingekuwa inajengwa huko Tanganyika the whole world would have known
Unga sio staple food ya France lakini wanaprotest sababu ya high cost of living which includes basic commodities zenye equivalence ya unga huko kwaoFrance wana protest bei ya unga?
Know your lane [emoji2]
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app