kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
huyo bwege niachieni mimi....najua jinsi ya ku-play around na saikolojia yake....kuna vitu tayari nimesha vi-repost...akiviona lazima arukwe na akili sambamba na kutoa povu jingi.Huyu Jay ni hodari wa kuhamisha magoli.

