Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


0c45f3b8d1ded4730235b418a17e42d3.jpg
 
Jay, hii kitu siyo ya kufurahia hata kidogo, inasikitisha! Naona fizikia wakenya iliwapita kando kidogo, ni hivi;

Gari ni nzito (massive, relatively speaking) na ikiwa kwenye mwendo inakuwa na kitu kinaitwa 'momentum' (product of mass and velocity) sasa kwa gari iliyo kwenye mwendo na ikatokea kizuwizi (obstacle) itabidi ipunguze mwendo ghafla. Ile nishati ya mwendo (kinetic energy) itatafuta pa kwenda (energy can neither be created nor destroyed but it can be transfered from one form to another - law of conservation of energy).

Ndiyo maana haya magari yanaundwa na metali (alloy). katika kemia, moja ya sifa za metali (physical properties of metals) ni kubonyea au kupinda. kama kutatokea ajali, basi sifa hiyo ya metali itatumika kama 'safety feature'.

Sasa sijui kama muundaji wa hiyo 'Range Rover' ya mbao (non metal) aliyajua hayo. Ukitokea mzinga na kuhakikishia kiasi kikubwa cha energy ya kusimama ghafla, itakuwa 'transfered' kwa driver, sasa sijui kama atahimili.


Yani hiyo gari nchi nyingine asingeruhusiwa hata kuiendesha.
 
I always say kenyan education system is not removing majority of its citizens from ignorance.

thanks for a candid analysis comrade.

hiyo gari labda wataenda kuiweka museum.
who told you its being used? ujinga ya watz inashangaza🙁🙁🙁
 
mnapotuwekea hapa taarifa nusunusu mnategemea nini?....ungeweka taarifa kamili kuhusu hilo gari la mbao hakuna ambaye angehoji.

haya tuambue lengo la kuunda gari la mbao ni nini?...exhibition?.
yap...
 
HQ ya Barick Gold Mine au hujui?
lol! they setup the HQs in TZ because they need to eat your resources...Kenya dos not have gold...why set up HQs in Kenya??
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
meanwhile, all other companies have hqs in Nairobi...some of them only hav one in Africa and it is in Nairobi...Tazania can only dream of that...ila usijali...mnaongoza kwa LDC headquarters
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
I always say kenyan education system is not removing majority of its citizens from ignorance.
.
Hilo la elimu linafahamika, ndiyo maana kuna vyuo vikuu vingi vya nje vinakubali ku transfer credit kutoka NECTA kwenda kwao, kwa sharti kuwa NECTA kutuma moja kwa moja. Lakini hawakubali credit za KNEC, wanasema mitaala yao inalipua sana.
 
headquarters za multinational organization hapo nairobi, zimesaidiaje kuwaondoa wakenya katika chuki zenu za kikabila katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa baina ya NASA na jubelee?.
naliamsha dude
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Africa-UN.jpg
 
Back
Top Bottom