Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilimsikia mzee Sunday Manara akisema, tungewatumia hawa wachezaji wakigeni kujenga vipaji vya wachezaji wetu (wazawa) chipukizi.

Hii ya club kutegemea kununua wachezaji nje siyo nzuri sana kwa Taifa.
Tunaweza pishana hapa. Nchi zote za Europe wamekuza mpira wao kwa style ya wachezaji wa kigeni.

Hapo ni kujenga na kukuza competence. With maximum competence in place, wazawa watalazimika kukaza kucheza kwenye ligi na kupata namba, as time goes by, competence ya Wazawa itaongezeka na Watarejea tena kudominate kwenye ligi yao.
 
Sisi tupo kwenye BBT wao wanaandamana (Building Better Tomorrow)

238719029-jpg.2558920
 
Back
Top Bottom