Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

19429443_1064050163728810_2033000457206497280_n.jpg
Cvh4NJsXEAEj9s4.jpg
DDoc45GUIAE_JOu.jpg
 
Zanzibar kwa upande wa hotels ni moto wa kuotea mbali... haina mpinzani EA.
Kuna mwenzake mmoja alikuja hvohvo akakimbia sasa nashangaa yeye nimempa vihoteli vidogo sana analia na matusi juu😀😀😀😀😀
 
😀😀😀😀😀kulia mnapnda sana
.
Hakuna anayelia hapa Jay, ni katika kuwekana sawa tuu. Kama Tanzania ingekuwa nchi ya kulia lia, Leo hii tusinge kuwa tunajenga uwanja mpya, kumbuka sisi teyari tumepanua uwanja wetu mara mbili. Mwaka 1984 (terminal 2) na huu mpya (terminal 3) unaomaliziwa.
 
Sioni cha maana naona vibanda vya sausage na mayai ya kuchemsha ndo vimejaa mjini , ivi kuna usalama ki afya nikila ivi vitu yani kuhusu kipindupindu


naona kampuni imekuleta Nairobi kwenye headquarters. ...tunapenda foreign exchange asante.
 
Back
Top Bottom