Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

second Nairobi airport...Wilson Airport
20394023_843692185807822_2496219105351172096_n.jpg
naona mna mtungi pia😀😀😀
 
Hii Mada kiukweli inanionyesha jinsi gani Watanzania na Wakenya tuendako Sio kuzuri du!
 
check out this skyline
18514207_113052875940352_5125716028059287552_n.jpg
18514207_113052875940352_5125716028059287552_n.jpg
20838571_1975843332629195_4021436720296755200_n.jpg
Kaka topic iliyopo mezani ni hotels znz vs msa, sasa mbona umebadili gia angani bila taarifaa? ilibidi ukiri kwanza kwamba umeshindwa then tuende kwenye topic nyingine, hahahaaa znz imekutenda vibaya jombaa, umediverge fasta mana uliona umegusa untouchable angle, kwikwikwiii, sio kwa confidence ile uliyomjibu ichoboy halaf ukahama mada fastafasta
 
Wacha kutuwekea minara kila page
Umeomba Mombaasa Vs Zanzibar vipi tena
mwenzako kaleta utoto...ila nilkua nimesha predict jamaa ataleta mzaha...ingekua kadoda bila shaka tungejadili kama wazee lakini wengine mpaka watairiwe mwanzo..nashuku ni teenager
 
Kaka topic iliyopo mezani ni hotels znz vs msa, sasa mbona umebadili gia angani bila taarifaa? ilibidi ukiri kwanza kwamba umeshindwa then tuende kwenye topic nyingine, hahahaaa znz imekutenda vibaya jombaa, umediverge fasta mana uliona umegusa untouchable angle, kwikwikwiii, sio kwa confidence ile uliyomjibu ichoboy halaf ukahama mada fastafasta
fungua uzi maalum basi twende kazi....mwenzako utoto alionao hatuwezi tuka accomplish chochote
 
kwenye airpot ..hapo nawapa tano.....ila sisi tumeanza picha upya .....mkae kwa umakini
.
Huo uwanja wa ndege ni baadhi ya mali walizo tudhulumu, ulijengwa na jumuia ya Afrika mashariki wakati huo Nairobi ikiwa ndiyo kitovu cha anga kwenye jumuia.
 
.
Huo uwanja wa ndege ni baadhi ya mali walizotudhulumu, ulijengwa na jumuia ya Afrika mashariki wakati huo Nairobi ikiwa ndiyo kitovu cha anga kwenye jumuia.
😀😀😀😀😀kulia mnapnda sana
 
hivi 300 million usd ni pesa nyingi??? enyewe miafrika🙁🙁🙁🙁🙁unanihuzunisha...ongelea billions bana...300 m inasaidia nchi kivipi?? pengine ingekua ni familia moja tu...Chris Kirubi wa Kenya ana net worth ya 300m USD...😀😀😀
asante kwa povu...endelea ku-repost picha za cbd na upperhill upoze hasira.
 
Back
Top Bottom