Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Account yake ya Youtube tuu ina-viewers zaidi ya 2B, on average 1000 views ni sawa na $3. Yeye anazaidi ya 2 billion views kwenye account yake ambayo ni sawa na thamani ya $6million.
Ubaya hizo pesa amekuwa akitumia in girls na kujibrag nazo, si ati anaziinvest. Remember money once spent wrongly will never return. One thing Akothee is doing better than most artists is investments. Huyo akipata tu pesa hivi anaweka kwa biashara. She has started horticulture business right now and right now she owns a Forest with 40,000 pieces of eukalyptus Grandis and still expanding. She is planning to 500,000 pieces with each earning $10. You can search for Akothee Forest
 
Mimi siwezi kujuwa utajiri wala investments za hao wasanii. Nilikuwa tuu namuonesha joto la jiwe kuwa pesa hiyo $7m na zaidi anapata.
 
Akothee Ako na vitu expensive. Diamond Ako na cheap vehicles [emoji23][emoji23][emoji1787].

Ebu check price ya hii gari alafu uniambie itanunua Cadillac Escalade ngapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 2553783
Akothee nyar karachuonyo is still heavy for you tanzanians [emoji1787][emoji1787]
 
Akothee nyar karachuonyo is still heavy for you tanzanians [emoji1787][emoji1787]
Yani Akothee anawanyima usingizi to a point Sasa wanaamza kumlinganisha YouTube subscriptions ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kitu hawajui siku hizo Akothee YouTube kupata pesa zake, that's a business woman with brain. Anapata pesa alafu anaziinvest mahali. She is now in real estate, building luxury houses then sells to rich people at a higher price, she also has a foundation known as Akothee Foundation.
 
This road in Karen was made with strict rules not to cut down any tree. Karen is green and strives to remain that way
View attachment 2554075View attachment 2554076View attachment 2554077
Barabara zenu kienyeji mno, maisha yako yote unaweza kufananisha hicho kituko na barabara kama hii ya Tanzania? ninyi kufika ilipo Tanzania leo kwenye barabara mnahitaji waingereza wawatawale upya miaka 70 then mpate uhuru wa pili

Your browser is not able to display this video.
 
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
 
Akothee current ongoing project is the construction of Akothee Foundation Academy in Rongo, Migori County. Another source of income.

Wapi wale watetezi wa Diamond? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.


 
Stop comparing Diamond vs Akothe, they are far apart like mbingu na Ardhi. Tunarudia tena, Diamond ndiye musicians pekee katika ukanda huu mwenye pesa nyingi, anayetengenrza pesa nyingi kwenye shows zake, mwenye indorsement nyingi na makampuni makubwa ndani na nje ya Afrika, na mwenye makampuni makubwa yenye kuingiza pesa nyingi na kwa haraka, ninyi mnazungumzia kilimo Cha miti ya Eucalyptus, punguzeni ujuha.

Tuambieni Akothe ana kampuni zipi za maana zenye kutengeneza pesa kwa wingi Kila siku, hizo gari 5 za utalii ndio mnaita investment ya maana?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
Toka mpate uhuru mumejenga, Thika, expressway na barabara ya kwenda Ethiopia tu na ndio vimepelekea mpo na deni la trillion 9.5 mambo mengine ni porojo za wanasiasa wenu kuwachota akili sababu wanajua wanatawala viazi
 
Views za Afrika 1000 ni less than $1, jaribu kufuatilia jinsi wanavyothaminisha viewers kutoka maeneo ya Dunia.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni kweli Google wanatumia vigezo vingi kutoa mgao wa mapato ya matangazo ila huyu Diamond anawapenzi wengi tuu nje ya Afrika, na ameshirikiana na wasanii wengi wakubwa kama Rick Ross hivyo ad revenue yake kubwa kidogo.
 
Kwa vitu vyote nimeweka huku ni kilimo pekee ndio umeona?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

It will Diamond years to reach where Akothee is right now. This is another investment in form of a foundation. Ebu google Morning Start Resort Diani alafu urudi tuongee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Akothee Foundation Academy




Ebu google morning star resort Diani alafu urudi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Toka mpate uhuru mumejenga, Thika, expressway na barabara ya kwenda Ethiopia tu na ndio vimepelekea mpo na deni la trillion 9.5 mambo mengine ni porojo za wanasiasa wenu kuwachota akili sababu wanajua wanatawala viazi
Dongo kundu serikali ya Tanzania ndio ilijenga sindio?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Onyesheni ni project gani kubwa ambayo inamuingizia pesa kwasasa, kwasababu muziki wake uneshapitwa na wakati, hapati tena pesa kupitia muziki Wala You tube viewers.

Ninaweza kusema kwa uhakika kwamba project zote za Akothe zinalingana na pesa anayopata Diamond katika " Wasafi beti" pekee.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ