Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

GOD'S BRIDGE SECONDARY SCHOOL
View attachment 2552420



gbss-games.jpg


312362659_164308299552418_2744547312892919051_n.jpg


gbss5-pqotk9tlm1xjbm5gbx4emfzts2l4te3f6icm5qfex8.jpg
Bro.....just stop posting those ugly things
 
Hii hapa ilijengwa kwa shamba la my great grandfather - aliiacha akahamia kwengine. Yani hii ingekuwa Bongo wangekuwa washamwaga mipicha alafu waseme wameshinda kisa wamepost picha nyingi. [emoji1787] [emoji1787]
We mbn unalalamika lalamika, unawakatisha tamaa wenzako kwa kulalamika lalamika huko, weka picha za shule wacha kulalamika, hii battle uliitaka mwenyewe na nikakuuliza uko tayari? Sasa unalia lia nn, kama shule Tz ina shule nyingi kuliko Kenya na picha zimewekwa humu na kila mtu kaona.

Mmeletewa shule za ghorofa za serikali tena zina vioo mnasema hamtaki shule za ghorofa, mara oohh apartment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nmefurahi sn kuona mnafananisha shule za vijana wetu na apartment, hyo inaonesha jinsi gani tuko juu.

Mwisho kabisa niseme kwamba daima Kenya haitokaa iikaribie Tz kwenye idadi ya shule, never ever cz shule zenu zote mlizopost 90% ni zile zile za wakoloni wakati watanzania wameweka picha za shule ambazo nyingi zipo U/C. Serikali yenu haijengi shule, haijengi barabara, haijengi hospitali wala haijengi reli lkn inakusanya kodi, muilaumu serikali yenu msitulilie sisi tunapopost maendeleo tuliyofikia.
 
Nairobi School tangu lini imekuwa Primary School? Ama ni vile mmezoea wanafunzi wazee mnadhani kila nchi Iko na wazee kwa shule?[emoji3][emoji3][emoji3]
Hao ni watoto lkn wanaonekana wazee, ndivyo mlivyoumbwa sura zenu Wakenya.
 
Unataka nioneshe uswazi wakati apartments ndio tunazo? Kubali hiyo maziwa lala yenu haina cha maana cha kuonyesha
Sasa mbn unapost zile zile miaka nenda rudi, sisi tumeshaanza kupost za Dodoma we umebaki pale pale.
tapatalk_484284020_540x540.jpg
 
Back
Top Bottom