We mbn unalalamika lalamika, unawakatisha tamaa wenzako kwa kulalamika lalamika huko, weka picha za shule wacha kulalamika, hii battle uliitaka mwenyewe na nikakuuliza uko tayari? Sasa unalia lia nn, kama shule Tz ina shule nyingi kuliko Kenya na picha zimewekwa humu na kila mtu kaona.
Mmeletewa shule za ghorofa za serikali tena zina vioo mnasema hamtaki shule za ghorofa, mara oohh apartment [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nmefurahi sn kuona mnafananisha shule za vijana wetu na apartment, hyo inaonesha jinsi gani tuko juu.
Mwisho kabisa niseme kwamba daima Kenya haitokaa iikaribie Tz kwenye idadi ya shule, never ever cz shule zenu zote mlizopost 90% ni zile zile za wakoloni wakati watanzania wameweka picha za shule ambazo nyingi zipo U/C. Serikali yenu haijengi shule, haijengi barabara, haijengi hospitali wala haijengi reli lkn inakusanya, muilaumu serikali yenu msitulilie sisi tunapopost maendeleo tuliyofikia.